Inatinu matatizo yote mawili mkuu
Dr.Mo naomba msaada Mimi nina severe acne na ni muda wa miezi 3 sasa. Nafikiri ni reaction ya cream nilizokuwa natumia. Naweza tumia Dawa gani Dr?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatinu matatizo yote mawili mkuu
tafuta hydroquinono cream 2% upake kwenye madoa tu .yakkiisha acha kutumia. kwa kawaida huchukua mwezi mmoja hadi mitatu madoa kuisha. unapaka asubuuhi na jioni. pia unaweza jaribu adapalene cream.Wakumbwa naomba kuuliza ni dawa ua mafuta gani yanaweza kutumika kuondoa mabaka/Madoa yatokanayo na chunusi kwa mwanaume?
Na pia ni mafuta gani sahihi kwa ngozi yenye mafuta?
Naomba ushauri.
tafuta hydroquinono cream 2% upake kwenye madoa tu .yakkiisha acha kutumia. kwa kawaida huchukua mwezi mmoja hadi mitatu madoa kuisha. unapaka asubuuhi na jioni. pia unaweza jaribu adapalene cream.
ndiyo hiyohiyo .ila hapa inakuwa na percent ndogo pia madoa yakiisha unatakiwa kuacha.hydroquinone si ndo inasababisha mtu kuwa mweupe,aka inachubua au?
Ni kweli kabisa..lkn pia kwenye root ya hivyo vinjweleo anaweza kuwepo bacteria akachangia ..Uelewa wangu wa chunusi,hutokea pale ambapo vinyweleo vya ngozi vinapoziba na kusababisha uchafu kubaki ndani ya ngozi,pia wingi wa mafuta usoni,usipoufanyia uso usafi vizuri pia vinyweleo huziba na kusababisha chunusi,unapoibinya kwa kucha hata kama imeiva utabakiwa na kovu,unatakiwa uiminye kwa kitambaa kisafi sio na kucha,namna ya asili ya kuondoa chunusi ni kunywa maji mengi na kula protein za aina zote...hii itakusaidia sana,chemicals zinamadhara makubwa mno ndugu!
Pole sana mkuu..kwa kweli kwa ushauri mkubwa utafute dr mzuri wa ngozi ili aweze kukucheki vizuri zaidi( especily ili ajue anakuandikia dawa gani kutokan na ngozi ilivyo..unaweza kukuta pia unahitaji antibiotics pia) lkn kwa haraka unatakiwa piaDr.Mo naomba msaada Mimi nina severe acne na ni muda wa miezi 3 sasa. Nafikiri ni reaction ya cream nilizokuwa natumia. Naweza tumia Dawa gani Dr?
Hydroquinone haitumiki sana sikuhizi maana ina side effects nyingi..hasa kwa kinamana ambao bado wanataka kupata watotohydroquinone si ndo inasababisha mtu kuwa mweupe,aka inachubua au?
Mkubwa hapa nimekupata kabisa.bt kuna jambo umeongelea hapo naona bado tata.nyakula vya protini si pia vinaongeza mafuta na mafuta yanachangia sana chunusi.Uelewa wangu wa chunusi,hutokea pale ambapo vinyweleo vya ngozi vinapoziba na kusababisha uchafu kubaki ndani ya ngozi,pia wingi wa mafuta usoni,usipoufanyia uso usafi vizuri pia vinyweleo huziba na kusababisha chunusi,unapoibinya kwa kucha hata kama imeiva utabakiwa na kovu,unatakiwa uiminye kwa kitambaa kisafi sio na kucha,namna ya asili ya kuondoa chunusi ni kunywa maji mengi na kula protein za aina zote...hii itakusaidia sana,chemicals zinamadhara makubwa mno ndugu!
Tafadhari jamani naombeni msaada wenu juu ya tatizo hili nina tatizo la chunusi limenianza hivi karibuni,kipindi cha barehe sijawahi kutokwa na chunusi kwa wingi kiasi hiki sa hv zinanitoka sana.
Kinachonishangaza zaidi hunitoka kipindi nikiacha nywele kichwani kwa mda mrefu.
Mwenye ujuzi kuhusiana na hii kitu tafadhari.asante in advance
[/TD]
[/TD]