Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Inatinu matatizo yote mawili mkuu

Dr.Mo naomba msaada Mimi nina severe acne na ni muda wa miezi 3 sasa. Nafikiri ni reaction ya cream nilizokuwa natumia. Naweza tumia Dawa gani Dr?
 
Uelewa wangu wa chunusi,hutokea pale ambapo vinyweleo vya ngozi vinapoziba na kusababisha uchafu kubaki ndani ya ngozi,pia wingi wa mafuta usoni,usipoufanyia uso usafi vizuri pia vinyweleo huziba na kusababisha chunusi,unapoibinya kwa kucha hata kama imeiva utabakiwa na kovu,unatakiwa uiminye kwa kitambaa kisafi sio na kucha,namna ya asili ya kuondoa chunusi ni kunywa maji mengi na kula protein za aina zote...hii itakusaidia sana,chemicals zinamadhara makubwa mno ndugu!
 
Na VP kuhusu vipere vya kwenye ndevu jaman hata nikinyoa na mashine saloon au wembe bado vinanisumbua na nimejaribu after shave mbali mbali ......zaid Zaid Kwa sasa ndevu kinazid Kuwa cheusi
 
Wakumbwa naomba kuuliza ni dawa ua mafuta gani yanaweza kutumika kuondoa mabaka/Madoa yatokanayo na chunusi kwa mwanaume?

Na pia ni mafuta gani sahihi kwa ngozi yenye mafuta?

Naomba ushauri.
tafuta hydroquinono cream 2% upake kwenye madoa tu .yakkiisha acha kutumia. kwa kawaida huchukua mwezi mmoja hadi mitatu madoa kuisha. unapaka asubuuhi na jioni. pia unaweza jaribu adapalene cream.
 
tafuta hydroquinono cream 2% upake kwenye madoa tu .yakkiisha acha kutumia. kwa kawaida huchukua mwezi mmoja hadi mitatu madoa kuisha. unapaka asubuuhi na jioni. pia unaweza jaribu adapalene cream.

hydroquinone si ndo inasababisha mtu kuwa mweupe,aka inachubua au?
 
Uelewa wangu wa chunusi,hutokea pale ambapo vinyweleo vya ngozi vinapoziba na kusababisha uchafu kubaki ndani ya ngozi,pia wingi wa mafuta usoni,usipoufanyia uso usafi vizuri pia vinyweleo huziba na kusababisha chunusi,unapoibinya kwa kucha hata kama imeiva utabakiwa na kovu,unatakiwa uiminye kwa kitambaa kisafi sio na kucha,namna ya asili ya kuondoa chunusi ni kunywa maji mengi na kula protein za aina zote...hii itakusaidia sana,chemicals zinamadhara makubwa mno ndugu!
Ni kweli kabisa..lkn pia kwenye root ya hivyo vinjweleo anaweza kuwepo bacteria akachangia ..
 
Dr.Mo naomba msaada Mimi nina severe acne na ni muda wa miezi 3 sasa. Nafikiri ni reaction ya cream nilizokuwa natumia. Naweza tumia Dawa gani Dr?
Pole sana mkuu..kwa kweli kwa ushauri mkubwa utafute dr mzuri wa ngozi ili aweze kukucheki vizuri zaidi( especily ili ajue anakuandikia dawa gani kutokan na ngozi ilivyo..unaweza kukuta pia unahitaji antibiotics pia) lkn kwa haraka unatakiwa pia
1.uwe pia unaavoid jua kama huna ulazima wa kuka juani
2.uwe unasafisha ngozi na maji ya uvugu vugu kwa mbali
3.usipake kitu chochote kwenye ngozi ambacho ukijui
4.kwenye chakula ujitahidi kula protein na vitamin hasa vitamin c na e
5. Kwa sababu ni cronic uwe mvumilivu uende nazo taratibu zitapona tu
kwa dawa za kupaka na kumeza kama ikihitajika nakuomba uende kwa dr mzuri akuangalie kwanza alafu atakupa mkuu..pole sana
 
hydroquinone si ndo inasababisha mtu kuwa mweupe,aka inachubua au?
Hydroquinone haitumiki sana sikuhizi maana ina side effects nyingi..hasa kwa kinamana ambao bado wanataka kupata watoto
 
Uelewa wangu wa chunusi,hutokea pale ambapo vinyweleo vya ngozi vinapoziba na kusababisha uchafu kubaki ndani ya ngozi,pia wingi wa mafuta usoni,usipoufanyia uso usafi vizuri pia vinyweleo huziba na kusababisha chunusi,unapoibinya kwa kucha hata kama imeiva utabakiwa na kovu,unatakiwa uiminye kwa kitambaa kisafi sio na kucha,namna ya asili ya kuondoa chunusi ni kunywa maji mengi na kula protein za aina zote...hii itakusaidia sana,chemicals zinamadhara makubwa mno ndugu!
Mkubwa hapa nimekupata kabisa.bt kuna jambo umeongelea hapo naona bado tata.nyakula vya protini si pia vinaongeza mafuta na mafuta yanachangia sana chunusi.
Pia ni mafuta au lotion gani nzuri na isiyokuwa na mafuta kwani ngozi yangu ni ya mafuta.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu wakubwa.vp lotion au mafuta sahihi kwa ngozi ya mafuta.
 
Tafadhari jamani naombeni msaada wenu juu ya tatizo hili nina tatizo la chunusi limenianza hivi karibuni,kipindi cha barehe sijawahi kutokwa na chunusi kwa wingi kiasi hiki sa hv zinanitoka sana.

Kinachonishangaza zaidi hunitoka kipindi nikiacha nywele kichwani kwa mda mrefu.

Mwenye ujuzi kuhusiana na hii kitu tafadhari.asante in advance
 
Jaribu sabuni hii ya foreverliving ni sh.22,500,pia nywele ndefu zisipopata shampoo ya kutosha zinaleta chunusi.
 
Attachments

  • IMG-20140516-WA014.jpg
    IMG-20140516-WA014.jpg
    8 KB · Views: 299
Tafadhari jamani naombeni msaada wenu juu ya tatizo hili nina tatizo la chunusi limenianza hivi karibuni,kipindi cha barehe sijawahi kutokwa na chunusi kwa wingi kiasi hiki sa hv zinanitoka sana.

Kinachonishangaza zaidi hunitoka kipindi nikiacha nywele kichwani kwa mda mrefu.

Mwenye ujuzi kuhusiana na hii kitu tafadhari.asante in advance

Jitibu Tatizo La Vipele Kwenye Uso ( Chunusi ) Kwa Njia Za Asili:

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Komamanga: Maganda Ya Mkomamanga yaliyosagwa, yakichanganywa na habbat sodah ya unga, hutengeneza dawa nzuri ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ( chunusi )[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kuna idadi kubwa ya watu wanao kabiliwa na tatizo la vipele vya usoni

( Chunusi ). Kuwa na chunusi ni jambo lenye karaha sana, kwani linakufanya upoteze mvuto wako wa asili na hivyo kukukosesha raha.

Zipo njia mbalimbali za asili zinazo weza kutumika kutibu tatizo la chunusi na vipele vya usoni.

Ifuatayo ni miongoni mwa njia bora kabisa na ya uhakika itakayo kusaidia kuondokana na tatizo la Chunusi au vipele kwenye uso.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Habbat Soda : Hii ni Habbat Sodah Ya Mbegumbegu. Habbat Sodah iliyosagwa ndio inayo hitajika katika kutengeneza dawa ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ama chunusi.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MAHITAJI :
i. Habbat Sawdah ya Unga iliyo sagwa.
ii.Nusu kikombe ya maganda ya komamanga yaliyo sagwa.
iii.Nusu kikombe ya siki ya tofaha(apple )

MATAYARISHO NA MATUMIZI

Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu)
kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple).

Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila siku usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Back
Top Bottom