Chunusi yaua kijana Tanga

Aisee hizi kitu zipo bana.


Kipindi nakua tulikuwa tunaenda machungoni na mifugo kadhaa.lakini kuna maeneo karib na mito yalikuwa yanazungushiwa fence ya miiba, na katikati yake kulikuwa na maji yasiyokauka.

Tulikuwa tunaambiwa tukikuta sehemu ya hivyo ni marufuku hata kusogea kwenda kudadisi kuna nini ndani ya yale maji, ni marufuku kupitisha mifugo karibu eneo hilo na kama itapita kwa kukuzidi achana nayo yaan jamaa litakuwa limeivuta linataka damu, so ukilazimisha kuitoa kibao kitakugeukia.
 
pole kwa wafiwa!
Lakini kifo hakikosi sababu hata uwe wapi mda wako ukifika utakwenda tu kwa chanzo chochote
 
Asee huyu Oshun mbona mtamu hivi!
 
Maji ni uhai ila usicheze nayo.yatakudhiri km yule jamaa etu mwenye dem w kizungu@manuu
 
Wenzie alioenda nao kunamtu kafuga ilo dude baharini so wachunguzwe vizuri
 
C.T.U utanifanya niache kula pweza sasa, huyo wa Hawaii na Japan mbona kama pweza dizaini? Huyo wa Australia mbona kama Superman japo unasema hana nini....? Wanaijeria anayo?

mshana jr pitia huu upande pulizi
 
Haya ni mambo yakusadikika hayana ukweli kila unaemuuliza anasema anasikia tu aje hapa aliona kwa macho yake sio kuleta hadith za kijinga hapa
 
Donge na beach inaitwa raskazon
unanikumbusha ilo tukio la huyo kijana nilishiriki mazish yake .kwa kweli ukipata simulizi za hapo pahala alipokwenda kuogelea znatisha.ila ni kweli watu wanapoteaga hpo na kufa kwa interval ya vipind flan flan.na miili yao hupatkana kuanzia saa sita mchana au baada ya adhana!!ngoja watakuja wajuzi kutujuza zaidi maana maswali ni mengi kuliko majibu
 
Kama huyo wa nigeria ukikutana nae huko ufukwen asee unapiga mzigo kabisa mpaka yale mambo yetu.......wazee wa voda
 
Dah hii story mi nilklikuepo huyo alikuwa anaruka kwenye bot zilizopaki yatch club waliingilia tanga bathing club jina maarufu beach ya waswahili mimi nilikuepo raskazone swiming club ni karibu sana na huyo alipatikana jumatatu saa saba mchana
sawa kbisa walikuta kichwa kinaelea tu pemben ya boti ila mwili upo ndani ya maji.!!kuna babu wa kihindi pale alitoa anglizo waje asubuh kuanzia saa5-7 .kma ni chunusi wataupata mwili nda huo na kweli baada ya adhana wakauona mwili.mambo yanatisha
 
Sijui kama kuna chunusi latika hii hadithi. Lakini mahala popote ambapo watu wanakufakufa,wanaweza kuwepo ghosts,etheric beings ambao ni mvuke umetoka katika wale watu waliokufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…