mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Aisee hizi kitu zipo bana.
Kipindi nakua tulikuwa tunaenda machungoni na mifugo kadhaa.lakini kuna maeneo karib na mito yalikuwa yanazungushiwa fence ya miiba, na katikati yake kulikuwa na maji yasiyokauka.
Tulikuwa tunaambiwa tukikuta sehemu ya hivyo ni marufuku hata kusogea kwenda kudadisi kuna nini ndani ya yale maji, ni marufuku kupitisha mifugo karibu eneo hilo na kama itapita kwa kukuzidi achana nayo yaan jamaa litakuwa limeivuta linataka damu, so ukilazimisha kuitoa kibao kitakugeukia.