M mama grace Member Joined Jan 20, 2020 Posts 65 Reaction score 297 Dec 4, 2024 #1 Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Dec 4, 2024 #2 mama grace said: Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau Click to expand... Pale kawe karibu na nida kuna chuo
mama grace said: Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau Click to expand... Pale kawe karibu na nida kuna chuo
M mama grace Member Joined Jan 20, 2020 Posts 65 Reaction score 297 Dec 4, 2024 Thread starter #3 Kalaga Baho Nongwa said: Pale kawe karibu na nida kuna chuo Click to expand... Asante
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Dec 4, 2024 #4 Nipe namba yake ntamsaidia tu binti yako mama grace.
M mama grace Member Joined Jan 20, 2020 Posts 65 Reaction score 297 Dec 4, 2024 Thread starter #5 Hicho chuo cha Ka,we kimefungwa. Kalaga Baho Nongwa said: Pale kawe karibu na nida kuna chuo Click to expand... Kimefungwa
Hicho chuo cha Ka,we kimefungwa. Kalaga Baho Nongwa said: Pale kawe karibu na nida kuna chuo Click to expand... Kimefungwa
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,441 Reaction score 15,201 Dec 4, 2024 #6 Mpeleke kwa Anna collection mcheki insta
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Dec 4, 2024 #7 Ma "G",,Chuo Sikifahamu Lakini Naamini Utapata Msaada Humu Ndani Kwa Wanafahamu,,,Mimi Zangu Dua Tu Uweze Fanikiwa Na Kufanikisha Hitaji Lako Kwa Mwanao,,,Mpe "Hi" Baba G Lakini Haswa Uzao Wenu Huo Mliobarikiwa Na Kujaaliwa "G".
Ma "G",,Chuo Sikifahamu Lakini Naamini Utapata Msaada Humu Ndani Kwa Wanafahamu,,,Mimi Zangu Dua Tu Uweze Fanikiwa Na Kufanikisha Hitaji Lako Kwa Mwanao,,,Mpe "Hi" Baba G Lakini Haswa Uzao Wenu Huo Mliobarikiwa Na Kujaaliwa "G".
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Dec 4, 2024 #8 mama grace said: Hicho chuo cha Ka,we kimefungwa. Kimefungwa Click to expand... Kile kilichopo kanisani pale? Unapajua pale kanisani kawe? Ila sijatokea muda kidogo mazingira yale
mama grace said: Hicho chuo cha Ka,we kimefungwa. Kimefungwa Click to expand... Kile kilichopo kanisani pale? Unapajua pale kanisani kawe? Ila sijatokea muda kidogo mazingira yale