Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

mama grace

Member
Joined
Jan 20, 2020
Posts
65
Reaction score
297
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.

Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
 
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.

Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Pale kawe karibu na nida kuna chuo
 
Nipe namba yake ntamsaidia tu binti yako mama grace.
 
Mpeleke kwa Anna collection mcheki insta
 
Ma "G",,Chuo Sikifahamu Lakini Naamini Utapata Msaada Humu Ndani Kwa Wanafahamu,,,Mimi Zangu Dua Tu Uweze Fanikiwa Na Kufanikisha Hitaji Lako Kwa Mwanao,,,Mpe "Hi" Baba G Lakini Haswa Uzao Wenu Huo Mliobarikiwa Na Kujaaliwa "G".
 
Back
Top Bottom