KERO Chuo cha Afya cha Paradigms hakiwaachi wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo cha afya cha paradigms hakitaki kuwaacha wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET hata kama hawadaiwi msajili wao anaitwa SHABANI MRINGO ni mtoto wa mkurugenzi anajiona ni mungu mtu namba zake hizo apo 0653083846 NACTVET wasaidieni wanafunzi wakimasikini
 
Poleni sana hapo paradigms, Wacha mamlaka ziingilie kati.
 
Chuo cha afya cha paradigms hakitaki kuwaacha wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET hata kama hawadaiwi msajili wao anaitwa SHABANI MRINGO ni mtoto wa mkurugenzi anajiona ni mungu mtu namba zake hizo apo 0653083846 NACTVET wasaidieni wanafunzi wakimasikini
Wanabana mapato, kuhama na hizo million 2 wanaona jau.
 
Sasa kile chuo kweli gorofa mbili au mlihama pale temeke?.

NB:Chombo chenu cha kushughulika na mambo haya ni NACTVET
 
Back
Top Bottom