Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

Sio bongo. Wabunge wenyewe wengi tu wapo bungeni kwa ngekewa. Wapo waliosema wazi kuwa ubunge wao ni wa kupewa na JPM. Je wamevuliwa ubunge? Kwa nini!
 
Hawa ni wapuuzi sana

Wameharibu their careers kijinga sana for fame ya dk 1
 
Mbona kama unaelekeza lawama kwa kitu ambacho kiko nje ya uwezo wa Lecturer au chuo? Unapoingia kwenye mtihani unaonyesha kitambulisho, hawatumii DNA kutambua wanafunzi..Sasa kama hao wanafunzi wanafana akichukua kitambulisho cha mwenzake, unategemea mwalimu agundue vipi?
 
Kitendo cha kuja kutamba hadharani ndio maana naona chuo ndio shida
 
Tatizo ni uzembe tu wa wasimamizi wa mitihani; wakisimama milangoni huwa hawawakagui vizuri wanafunzi, wanatazama particulars kwa mbali tu kisha wanakwambia ingia, hao mapacha walishausoma mchezo wakatumia gap kufanya yao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hizo hubaki kua siri kwa wahusika, wasimuliane wao, wacheeke mpaka wanyambe.

Walivyo vichwa maji wanaenda kutangaza as if ni sifa. Kama kuna kiongozi wa chuo anapenda kutrend basi wanafutiwa hizo degree zao.

Labda wanadhani ukishapata gamba basi ni kwishney.
 
Nazidi kuamini maneno ya jamaa mmoja kuhusu hawa watoto waliozaliwa miaka ya 2000. Hawa watoto ni changamoto mno! Hawana adabu wala akili, wao kila wanachofanyia gizani wanataka tusiokuwepo pia tuyafahamu.
 
Kama washapewa hzo degree....chuo wazi revoke cause wenyewe wamekiri hadharan kuwa wali cheat kwenye mitihan
Issue hapo ni ushahid mzee kumbka hapo ni radio station unaweza kujitapa unakaa masaki na unamiliki range wakati ulikwenda hapo na boda boda toka gongo la mboto
 
Wamejichanganya sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…