A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY.
Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti yamefutwa na pia kwenye swala la diploma tokea mwaka 2023 mpaka leo hayajaenda NACTE na hii inatokana na usumbufu wa COSIS ambao chuo imekua nao tokea 2019 nilipojiunga mpaka leo.
Hivi sasa nipo nje ya nchi, nimejaribu kuandika barua na kuzituma chuoni mara kadhaa bila majibu yoyote.
Nimejaribu kupiga namba zao za simu nikiwa huku cha ajabu naambiwa namba haijalipiwa na hata ukituma email hakuna majibu ya aina yeyote. Chuo kinamiundombinu duni ya mawasiliano na hata mfumo wao wa COSIS ni TATIZO LISILOKWISHA.