A
Anonymous
Guest
Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026.
Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo vingine ukimaliza maafali tu wanapewa vyeti, kwa CBE waliohitimu Mwaka 2024 walipata vyeti vyao Januari 2025.
Uongozi wa CBE hausemi sababu ya kusubiria na ukiwauliza wahusika wana majibu mabaya sana.
Soma pia: KERO - Tumehitimu CBE Dar lakini mfumo unasoma ‘continue’, tunashindwa kupata vyeti