Usikute hulipi ada afu unalalamika huku.Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku apply huku apply.
Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa
Ufundishaji ni mbovu na 99% ya walimu wanaofundisha hicho chuo ni walimu wa diploma tu hawana elimu ya MD
Kipindi cha rotation wanafunzi wanafanyiwa ubabaifu kupelekwa wodini wakati huo pesa wameshalipa
Hivi vyuo ukiwa unatoa ada kwa kusua sua utavichukia sana,kwenye ada wako very serious sana.Usikute hulipi ada afu unalalamika huku.
Kuna hawa wanaitwa nacte ni hatari sana kwa ustawi wa taifa kwani kuna vyuo hali Dar vinatoa rushwa sanaSerikali iliwezaje kutoa usajili hali ya kuwa hawakufata taratibu zote hapo mm lawama kwa serikali tu hakuna mwingine wa kumlaumu mwisho wa siku mgonjwa anafanyiwa operesheni matakoni badala ya mguuni
Elimu ni biashara dunia nzima.Tatizo la sa hv Kwa Tz , elimu ni biashara, so hata ukifeli kama we ni mlipaji mzuri wa tuition fee, wanakufanyia manyanga uonekane umefaulu ili waendelee kubarikiwa na fedha zako