Chuo cha ifm kuhamishiwa msata

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
968
Reaction score
354
Chuo cha IFM kuhamishiwa Msata katika Mkoa wa Pwani baada ya kupatikana eneo la kujengea la hekari 1500. Waliozoea kufuata mabinti wa IFM itabidi kuwafungia safari hadi Msata ujenzi utakapokamilika.
Source : habari ya saa 2 usiku TBC1.
 
Safi sana waende huko tu!! Hata UDSM enzi hizo nyerere anachukua pale mlimani lilikuwa pori tu!!
 
ikiwa hivyo , basi itakuwa nchi ya kila muwamba ngoma ,huvutia kwake. sasa tuite kila muwamba gas huvutia,,,,,,,,,,,,,,
 
Me nilifikiri wamepata eneo segera! Kumbe hapo msata tu,
 
Chuo cha IFM kuhamishiwa Msata katika Mkoa wa Pwani baada ya kupatikana eneo la kujengea la hekari 1500. Waliozoea kufuata mabinti wa IFM itabidi kuwafungia safari hadi Msata ujenzi utakapokamilika.
Source : habari ya saa 2 usiku TBC1.
Hii ni habari njema kwa sisi tulionunua viwanja Na kujenga Bunju. Nitajenga tuvyumba vitatu vya hosteli ya kike tu..ili kuisaidia serikali na wanafunzi maladhi nafuu:becky:
 
Majengo ya IFM yatatumika kwa shughuli gani?
 
Hii ni habari njema kwa sisi tulionunua viwanja Na kujenga Bunju. Nitajenga tuvyumba vitatu vya hosteli ya kike tu..ili kuisaidia serikali na wanafunzi maladhi nafuu:becky:

Ahahaaaa kaka Bunju na msata wapi na wapi????
 
Majengo ya IFM yatatumika kwa shughuli gani?
Ni bora serikali ijenge jengo la kuhifadhia magari (parking spaces). Majengo yameshakuwa mengi na magari ni karaha katikati ya Mji.
 
Ahahaaaa kaka Bunju na msata wapi na wapi????
Ukiujua ukaribu wa kutoka Bunju mpaka Msata hautashangaa na mahesabu yangu ya kusaidia wanafunzi wa kike. Maana humu kuna Minjemba inatoka Tegeta,Boko kuwafuata watoto wa IFM mjini...Tafakari mkuu Cement.
 
MUHAS wanenda kibaha, CBE wanaenda mlandizi, TIA Wanaenda Chalinze, DIT Bagamoyo, Mzumbe iko Moro na SUA pia, si unaama kimoja hadi kingine,tatizo nini ndugu?
 
bado mgawanyo wa rasilimali hauko sawa hapa. naona kila kitu bado kinawekwa kwenye mazingira yaleyale tu.
SERIKALI HEBU ANGALIENI NA MAENEO MENGINE BASI
 
inawezekana pale kilipo wanataka wapapolomoshee bonge la casino. hadi awamu hii iishe bagamoyo patakua wilaya ya viwanda na vyuo!. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…