Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali....kibaki UDSM kiuze vyema sura mjini hapa
Hii ni habari njema kwa sisi tulionunua viwanja Na kujenga Bunju. Nitajenga tuvyumba vitatu vya hosteli ya kike tu..ili kuisaidia serikali na wanafunzi maladhi nafuu:becky:Chuo cha IFM kuhamishiwa Msata katika Mkoa wa Pwani baada ya kupatikana eneo la kujengea la hekari 1500. Waliozoea kufuata mabinti wa IFM itabidi kuwafungia safari hadi Msata ujenzi utakapokamilika.
Source : habari ya saa 2 usiku TBC1.
Hii ni habari njema kwa sisi tulionunua viwanja Na kujenga Bunju. Nitajenga tuvyumba vitatu vya hosteli ya kike tu..ili kuisaidia serikali na wanafunzi maladhi nafuu:becky:
Ahahaaaa kaka Bunju na msata wapi na wapi????
Ni bora serikali ijenge jengo la kuhifadhia magari (parking spaces). Majengo yameshakuwa mengi na magari ni karaha katikati ya Mji.Majengo ya IFM yatatumika kwa shughuli gani?
Ukiujua ukaribu wa kutoka Bunju mpaka Msata hautashangaa na mahesabu yangu ya kusaidia wanafunzi wa kike. Maana humu kuna Minjemba inatoka Tegeta,Boko kuwafuata watoto wa IFM mjini...Tafakari mkuu Cement.Ahahaaaa kaka Bunju na msata wapi na wapi????
Majengo ya IFM yatatumika kwa shughuli gani?
Majengo ya IFM yatatumika kwa shughuli gani?