Chuo cha Mipango Dodoma

Duh! noma sana hadi mke wa waziri alidisco, bas pale pazuri kwan hakuna marks za kuangaliana usoni.
 
karibuni mipango chuo kizuri hakuna kuuza sura pale, development economics iko poa jipange tu mkuu
 
hahahahahhahah dah inaonekana hamna masihara

hakuna uzembe pale mi nachukua hiyo development economics iko vizuri tu na ni mpya pale hata contena moja bado halijamwagwa mtaani, chuo kizuri ila ujipange tu field ya first year ni vijijini...
 
hakuna uzembe pale mi nachukua hiyo development economics iko vizuri tu na ni mpya pale hata contena moja bado halijamwagwa mtaani, chuo kizuri ila ujipange tu field ya first year ni vijijini...

mkuu posts zimetoka kozi ya development economics tupo 15,nyie mpo wangapi?
 
anayejua process za accomodation chuo hapo atujuze cc eshy m.s
 
anayejua process za accomodation chuo hapo atujuze cc eshy m.s

kuna hostel za chuo anayewahi ndo anapata mwaka jana ilikuwa 350000, mwaka huu sijui na ni chache wengi wamepanga room nje ya chuo so kama unahitaji hostel uwahi kufika chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…