Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo ndo posts zenyewe
Ni chuo kizuri sana ila jipange kwani mziki wa pale si mchezo, kuna prof anaitwa Ziliona nomaa, babu ndile balaha, kudisco jambo la kawaida .Mke wa waziri mmoja alidisko palepale, jipange ka. Mimi nimesoma pale masters ya economics, chuo kizuri sana.S
mipango bado hawajatoa majina
Duh! noma sana hadi mke wa waziri alidisco, bas pale pazuri kwan hakuna marks za kuangaliana usoni.
Tupo wengi tunazisubiria atiii,,tushtuane zikitoka[poa poa mkuu
Duh! noma sana hadi mke wa waziri alidisco, bas pale pazuri kwan hakuna marks za kuangaliana usoni.
kuna prof aliwapa sap mkewe na mwanae,
Hahaha mwambie akupeleke Udom au Udsm au kwingine ukasome Business Administration... mwenye kutaka kufahamu chuo aangalie hii prospectus kupitia Institute of Rural Development Planning hapo utaweza kujisomea nini chuo hiko kinafundisha.
hahahahahhahah dah inaonekana hamna masihara
Tupo wengi tunazisubiria atiii,,tushtuane zikitoka[poa poa mkuu
zimeshatoka mkuu...ingia website ya chuo
hakuna uzembe pale mi nachukua hiyo development economics iko vizuri tu na ni mpya pale hata contena moja bado halijamwagwa mtaani, chuo kizuri ila ujipange tu field ya first year ni vijijini...
zimeshatoka mkuu...ingia website ya chuo
asante kwa taarifa
mkuu posts zimetoka kozi ya development economics tupo 15,nyie mpo wangapi?
anayejua process za accomodation chuo hapo atujuze cc eshy m.s