Chuo cha nishangaza

Chuo cha nishangaza

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Wanajamii nasikia kunachuo kikuu ambacho kinaendesha utaratibu wake kama seminary hapa Tz naomba kukijua ili mwakani nimpeleke manangu hii ni kutokana na vyuo vikuu vingi vimekuwa madangulo
 
mum mwisho wa matatizo pale hata huruhusiwi kugusana na mtoto wa kike duhh
 
Kama ataweza kufuata iman za kiislam ni Morogoro muslim university ebwane pale ni sheria ngumu sijapata ona, mwanafunzi wa kike huwez kuona ugoko wake hata siku moja, ila nina wasiwasi usije kujuta pale mwanao atakapofukuzwa chuo maana kosa dogo sana unarudishwa nyumbani
 
usisahau kuwa baadaye mwanao atafanya kazi kwenye jamii hii hii inayofanana na madangulo. badala ya kuhanagaika sana wapi umpeleke, mfundishe kuishi na kujitegea bila kujali yuko mazingira gani.
 
Mwache akajichanganye azoee maisha...
kuna student nlimkuta kwa afisa elimu anahama nkashangaa shule anayohama ni nzuri sana sababu ya kuhama hyo shule ni mixer na girls eti hajazoea kusoma na wasichana!
 
nipo serius lakini baadhi ya wadau wanaleta joaking.nahitaji kutengeneza future ya mwanangu
 
Back
Top Bottom