sweet poison
Senior Member
- Aug 16, 2013
- 104
- 15
Wanajamii nasikia kunachuo kikuu ambacho kinaendesha utaratibu wake kama seminary hapa Tz naomba kukijua ili mwakani nimpeleke manangu hii ni kutokana na vyuo vikuu vingi vimekuwa madangulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usisahau kuwa baadaye mwanao atafanya kazi kwenye jamii hii hii inayofanana na madangulo. badala ya kuhanagaika sana wapi umpeleke, mfundishe kuishi na kujitegea bila kujali yuko mazingira gani.Kama ataweza kufuata iman za kiislam ni Morogoro muslim university ebwane pale ni sheria ngumu sijapata ona, mwanafunzi wa kike huwez kuona ugoko wake hata siku moja, ila nina wasiwasi usije kujuta pale mwanao atakapofukuzwa chuo maana kosa dogo sana unarudishwa nyumbani
Mpeleke IFM
mpeleke mum
Mumnyweshe mbege mtoto wa watu...:::joke:::