A
Anonymous
Guest
Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani katika somo la kifaransa ambalo lilikuwa somo la lazima na baadae kulifanya somo la hiari kwa baadhi ya kozi.
Lakini urekebishaji wa matokeo ya nyuma kwenye mfumo imekuwa changamoto na ikizingatiwa mahafari yatakuwa tarehe 21/12/2024 na kwa wanafunzi ambao mwaka wa mwisho huu inabidi kurudi mwaka wa kwanza kama tatizo litakuwa halijatatuliwa.
Na kero hii ipo kwa wanafunzi wengi ambao wamejaza form za malalamiko (complain form) na kuandika barua kwa wakuu wa vitivo lakini hakuna utekelezaji wowote, hivyo kero hii ifike kwa Mkuu wa Chuo, Mheshimiwa Waziri wa Elimu, TCU ili tusaidike maana imekua kero kubwa na muda umeshaisha.