Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) Acheni Arrogance; Part-Time Teaching Mnafanya Interview? Huko ni kudharau na kudhalilisha Watanzania

Kama chuo wako makini lazima watu wajiridhishe pasina shaka juu ya wasifu wako kitaaluma (Resume/CV).

Ndio kusema hata ingekua ni taasisi YANGU siwezi kusomba watu tu kisa wanafundisha sehemu fulani, hizi ni mechanism za quality assurance you must adhere/conform.
 
Baada ya huu uzi ni kama namuona yule afisa habari wao alivyobadirika rangi (ni kisirani sana) ili kuja kukanusha!.
 
Ahahahaha jamaaa wewe hatari San Kama nawaona HV yaani ila moremi amefariki aisee
Yes Moremi alifariki mwaka 2018 kwa saratani ya ini. Sad indeed. Liliundwa group la Whatsapp la kumchangia na kila mmoja alitoa kiasi chake lakini Mungu akampenda zaidi.
 
Interview lazima ili mwisho wa siku wapate waalimu ambao watawafaa, nakushangaa if wewe ni lecturer halafu unashangaa kufanyishwa interview unapoomba kazi.Kwa sasa waliosoma ni wengi na wenye sifa ya ulecturer ni wengi zaman ilikuwa simple tu maana kwa mfano lecturer mzuri wa financial accouting alikuwa labda Prof Assad, wa Auditing labda Prof Temu, sijui wa Intermidiate accouting Malagila, sijui wa princioles of marketing Khalid, so vichwa kama hivi na vingine vichache vya miaka hivyo vikiomba wala hamna interview unachagua tu mmoja anakuja fundisha. Sasa now kuna waTz malaki wana MBAs CPAs ACCAs CIB n.k sasa wanapogombea vinafasi vichache unaarive vipi kuwapata qualified, competent Lecturer au Tutorial Assistant? kama hakuna mchujo sasa we mwalimu unaogopa interview je mwanafunzi wako atakuwaje? au unafikiri atapewa kazi kiwepesi🙉😆 kapambane if kazi unaitaka na usipoenda interview wengine kibao wataenda
 
Hizo part time jobs Zina Kona Kona kibao, Kuna sehemu nilipigiwa chapuo nikakuta wananipa sharti niongeze shahada ya pili kipindi nafundisha.Sharti lao likawa gumu nikapishana nao
 
Wewe unataka utoke huko ulikotoka na kufikia darasani kufundisha moja kwa moja?

Mbona hutuelezi kama chuo kitafanya coverage ya cost za usafiri kwenda kwenye interview au la!

Kifanyiwa interview ni lengo la kuhakikisha chuo kinapata lecturer wazuri na wenye irelevant documents.

Kama unavyo nenda kafanye interview na huku JF sio mahali pa kuwajibia hao ATS....
 
Una fikra za ajabu mno bro. Sikuwahi kutegemea kama una fikra za kijima hivi. Kina Zuckerberg wana umri gani na chini yao kuna wazee kibao. Vipi kuhusu Mo Dewji?
Fikra zangu niache nazo mimi na wewe tafuta fikra zako bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…