figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wivu πSamia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Na utakuta mabilioni yamehongwa kugaiwa hiyo phpSamia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Chuo ni chuo tu gentleman, hata chuo cha bibilia ni chuo pia,
Huenda anachotunukiwa Dr.Samia Sauluhu Hassan kimekuumiza sana moyo gentleman?
Na huo sasa mbona ni mwanzo tu gentleman? si utaumia sana kwa makasiriko nonsense?
Mdomo kama!
Mungu nifundishe kunyamaza π·
CCM kunyamaza kwenu hakuna hasara. Mwambie Samia, tangu aue watoto wa Tanganyika, sitamsamehe yeye wala ukoo wake. Hii vita ya milele.. 29.10.2025 tutaikumbuka daimaNarudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.
Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......
Gentleman,Mmmh haya ndio mambo ya kwenda kuzindua mashua ya za uvuvi
Nyie wafia chama ndio mnampigisha shot Rais wetu
So hata sinoni college kinaweza kumpa cheti Rais wa watu milion 60+? Haha π
Gentleman,
mchango wa Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ni mkubwa sana duniani na inafaa kutambulika na kila taasisi ya elimu ama vinginevyo duniani. Na hakuna mihemko inaweza kuzuia watu duniani kote kutokutambua mchango madhubuti wa kiongozi huyu shupavu wa Tanzania, Dr.Samia Suluhu Hassan kijamii, kisiasa au kiuchumi.
Atatunukiwa hadhi anazostahili bila mbambamba yoyote ile gentleman, hata kama mnaumia kiasi gani mioyoni kwa chuki zenu binafsi
Hata kama miujiza ingetokea Harvard University nao wakamtunuku honorary doctorate, hakuna kitakachobadilika. Fazafaka ataendelea kuwa an idiot tu!Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
huna haja ya kukaa kimya ukiwa una la kueleza jukwaani,Ngoja nikae kimya
Mambo ya kutekwa now hapana
Kwahio maza ni "Humpty Dumpty" πππHuyu Maza ni zaidi cartoon
Kwani anataka majengo ya chuo au anataka cheti cha chuo? Acheni ukudaSamia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Huyu namfanisha na Kung Fu pandaKwahio maza ni "Humpty Dumpty" πππ
πππππππHuyu namfanisha na Kung Fu panda
Wewe uvivu wa kufuatilia mambo.Wivu π