Chuo cha Urusi kitakacho Mtunuku PhD Samia Suluhu, kina hadhi kama Amazon Collage au SUZA ya Zanzibar

Chuo cha Urusi kitakacho Mtunuku PhD Samia Suluhu, kina hadhi kama Amazon Collage au SUZA ya Zanzibar

Elimu ya Russia ni nzuri kwa Russia. Hapa hapa tu bongo aliesoma Russia ni rahisi sana kukalia becnhi tofauti na UK
Wataalam toka Russia wapo wengi tu huko wakifanya kazi.

Hapa anazungumzia Ubora wa Chuo.
 
Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.

Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......
CHAWA 🚮
 
Wataalam toka Russia wapo wengi tu huko wakifanya kazi.

Hapa anazungumzia Ubora wa Chuo.
Wengi waliosoma Russia tia majia tia maji bahati nzuri nipo uwanja wa academic nawafahamu baadhi kwanza hata maisha yao yanatia huruma sijui huwa wanarudi na laana. Anyway kila la kheri kwa Mh Mama Rais
 
Chadema matapeli sana.

Orodha yako umeishia namba nane kwakuwa hicho chuo ni namba 9 kwa ubora Russia na ni namba 367 kwa ubora duniani.

Ogopa matapeli ya Chadema.
Kumbe umeelewa. Fikiria sasa Namba moja wa Tanzania mnaenmuita Rais anaenda huko Vijiji Konkovo kwenye vichochoro vya Maklaya?!. Yaani huyo anayejiita Rais anakubali kwenda Miklukho kisa PhD?! Maajabu
 
Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)

Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.

Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;

1. Lomonosov Moscow State University

2. Moscow Institute of Physics and Technology

4. Saint Petersburg State University

5. Higher School of Economics

6. Novosibirsk State University

7. Bauman Moscow State Technical University

8. National Research Nuclear University MEPhI

Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?

Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Amazon unaifananisha na SUZA...? Wewe kweli hamnazo.
 
Ila tu wakweli,kwa upopompo wa huyu tuliyenae hata team yake inateseka kumtetea 🤣
 
Tuzo ya ujingaujinga lazima upewe wewe na huyo shangazi yako.Mpompo tu kama magimbi.
Wivu,wajinga wenzako watakupa lini tuzo?

SSH amepewa tuzo na Vyuo vingi hapa Duniani kuanzia Vyuo maarifu India na Korea Hadi Vyuo vinavyopendwa Tanzania.

Wewe hater utaishia kupata maumivu ya chuki tuu
 
Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)

Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.

Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;

1. Lomonosov Moscow State University

2. Moscow Institute of Physics and Technology

4. Saint Petersburg State University

5. Higher School of Economics

6. Novosibirsk State University

7. Bauman Moscow State Technical University

8. National Research Nuclear University MEPhI

Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?

Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Sasa mnataka Samia apewe phd na vyuo vinavyoeleweka wakati hana sifa za kupata hiyo phd.
 
Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.

Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......
Unaweza kuthibitisha mungu anawazibua watu?
 
Back
Top Bottom