hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
huna haja ya kukaa kimya ukiwa una la kueleza jukwaani,
acha uchoyo na ubinafsi wa fikra mpya na mawazo mbadala gentleman, haifai hiyo![]()
Kaka maisha ni matamu, š š¤£ ngoja nikae kimya
huna haja ya kukaa kimya ukiwa una la kueleza jukwaani,
acha uchoyo na ubinafsi wa fikra mpya na mawazo mbadala gentleman, haifai hiyo![]()
Angetunukiwa jikoni kwake anavyoandaa supu ya kabeji.Kwani anataka majengo ya chuo au anataka cheti cha chuo? Acheni ukuda
šš Kaenda chukua PhD VETaSamia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
She is not mother of modern tanzania hiyo title doesnt belong kwa mwanamke yoyote yule, labda atokee huko mbeleni mwenye caliber ya jk nyerere na akina mkapa.Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.
Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......
tatizo tunatutukanishwa sasa utaskia watanzania hawana akili..kumbe ni mtu mtu mmoja tu na PhD ya Amazon PolytechnicWacha mbambamba bana kwan una athirika nn bi msumi kupewa vyeti
Wacha apewe vyeti labda ndo kitu pekee anachoweza kufanya kwa usahihi
Aibu sana!Na utakuta mabilioni yamehongwa kugaiwa hiyo php
Endelea kuikumbuka, akitoka tumeni tena watoto wa watu na wale gen z wa Kenya waje kumtoa huyo atakayekuwepo pale ikulu pamoja na kuua au kujeruhi askari na kuharibu Mali za watu pamoja na miundombinu ya taifa halafu tumuone akitoka ikulu na kucheka tu tuu tuu kama taahira Huku akiwaonuesha maneno mengine zaidi ya kuvunja.CCM kunyamaza kwenu hakuna hasara. Mwambie Samia, tangu aue watoto wa Tanganyika, sitamsamehe yeye wala ukoo wake. Hii vita ya milele.. 29.10.2025 tutaikumbuka daima
You are stupid! Hiyo ni summary ya uliyoyaandikaSamia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Kumekucha!!Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Pambana na hawa wanaopinga ili wanaokulipa wakuone uongezewe posho yako!!Wivu š
šYou are stupid! Hiyo ni summary ya uliyoyaandika
You are stupid! Hiyo ni summary ya uliyoyaandika
Wameshaniongezea posho kitambo mbona?Pambana na hawa wanaopinga ili wanaokulipa wakuone uongezewe posho yako!!
Acha wivu ,wewe hata Chuo Cha wajinga wenzako hawawezi kukupa tuzo ššWewe uvivu wa kufuatilia mambo.
Kwani wewe ndiye mmiliki wa hicho chuo cha huko Urusi? Mbona povu kama la Omo?Angetunukiwa jikoni kwake anavyoandaa supu ya kabeji.
Elimu ya Russia ni nzuri kwa Russia. Hapa hapa tu bongo aliesoma Russia ni rahisi sana kukalia becnhi tofauti na UKChadema matapeli sana.
Orodha yako umeishia namba nane kwakuwa hicho chuo ni namba 9 kwa ubora Russia na ni namba 367 kwa ubora duniani.
Ogopa matapeli ya Chadema.