Chuo cha Urusi kitakacho Mtunuku PhD Samia Suluhu, kina hadhi kama Amazon Collage au SUZA ya Zanzibar

πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaenda chukua PhD VETa
 
She is not mother of modern tanzania hiyo title doesnt belong kwa mwanamke yoyote yule, labda atokee huko mbeleni mwenye caliber ya jk nyerere na akina mkapa.

For the record tu sio haters ila wananchi. Honorary phd kibao for what?

Ina mletea mwananchi unafuu wowote?
 
Wacha mbambamba bana kwan una athirika nn bi msumi kupewa vyeti

Wacha apewe vyeti labda ndo kitu pekee anachoweza kufanya kwa usahihi
tatizo tunatutukanishwa sasa utaskia watanzania hawana akili..kumbe ni mtu mtu mmoja tu na PhD ya Amazon Polytechnic
 
CCM kunyamaza kwenu hakuna hasara. Mwambie Samia, tangu aue watoto wa Tanganyika, sitamsamehe yeye wala ukoo wake. Hii vita ya milele.. 29.10.2025 tutaikumbuka daima
Endelea kuikumbuka, akitoka tumeni tena watoto wa watu na wale gen z wa Kenya waje kumtoa huyo atakayekuwepo pale ikulu pamoja na kuua au kujeruhi askari na kuharibu Mali za watu pamoja na miundombinu ya taifa halafu tumuone akitoka ikulu na kucheka tu tuu tuu kama taahira Huku akiwaonuesha maneno mengine zaidi ya kuvunja.
 
You are stupid! Hiyo ni summary ya uliyoyaandika
You are stupid! Hiyo ni summary ya uliyoyaandika
 
Kumekucha!!
 
Wajukuu wangu wakiniuliza kwa nini babu yao sitaki kuitwa "dokta" kwa hii Ph. D yangu ya kusotea miaka 5, huwa nawaeleza kuwa sababu ni sitaki kuwa level moja na vilaza wa namna hii.
 
Chadema matapeli sana.

Orodha yako umeishia namba nane kwakuwa hicho chuo ni namba 9 kwa ubora Russia na ni namba 367 kwa ubora duniani.

Ogopa matapeli ya Chadema.
 
PhD ya heshima ?

Hizi PhD sielewi huwa zina maana gani, maana tayari kama Mama Samia anazo kibao.
 
Chadema matapeli sana.

Orodha yako umeishia namba nane kwakuwa hicho chuo ni namba 9 kwa ubora Russia na ni namba 367 kwa ubora duniani.

Ogopa matapeli ya Chadema.
Elimu ya Russia ni nzuri kwa Russia. Hapa hapa tu bongo aliesoma Russia ni rahisi sana kukalia becnhi tofauti na UK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…