Wataalam toka Russia wapo wengi tu huko wakifanya kazi.Elimu ya Russia ni nzuri kwa Russia. Hapa hapa tu bongo aliesoma Russia ni rahisi sana kukalia becnhi tofauti na UK
CHAWA 🚮Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.
Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......
Wengi waliosoma Russia tia majia tia maji bahati nzuri nipo uwanja wa academic nawafahamu baadhi kwanza hata maisha yao yanatia huruma sijui huwa wanarudi na laana. Anyway kila la kheri kwa Mh Mama RaisWataalam toka Russia wapo wengi tu huko wakifanya kazi.
Hapa anazungumzia Ubora wa Chuo.
Kumbe umeelewa. Fikiria sasa Namba moja wa Tanzania mnaenmuita Rais anaenda huko Vijiji Konkovo kwenye vichochoro vya Maklaya?!. Yaani huyo anayejiita Rais anakubali kwenda Miklukho kisa PhD?! MaajabuChadema matapeli sana.
Orodha yako umeishia namba nane kwakuwa hicho chuo ni namba 9 kwa ubora Russia na ni namba 367 kwa ubora duniani.
Ogopa matapeli ya Chadema.
Kunguni
Amazon unaifananisha na SUZA...? Wewe kweli hamnazo.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
We jamaa, Niaje..?😂😂😂😂😂😂😂
Tuzo ya ujingaujinga lazima upewe wewe na huyo shangazi yako.Mpompo tu kama magimbi.Acha wivu ,wewe hata Chuo Cha wajinga wenzako hawawezi kukupa tuzo 😂😂
Mkuu mtake radhi Kung Fu panda yule ninja anajielewa sema mapepe mengi.Huyu namfanisha na Kung Fu panda
Wivu,wajinga wenzako watakupa lini tuzo?Tuzo ya ujingaujinga lazima upewe wewe na huyo shangazi yako.Mpompo tu kama magimbi.
Umeng'ang'ania kusema wivu.. Yaani watu tusihoji? Tusijadili? Hampendi kuona mtu akiwa huru kuongea?Wivu
Sasa mnataka Samia apewe phd na vyuo vinavyoeleweka wakati hana sifa za kupata hiyo phd.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar)
Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi wanatoka Afrika, Asia na Amerika ya Kusini.
Kwa Urusi, vyuo vyenye hadhi ni;
1. Lomonosov Moscow State University
2. Moscow Institute of Physics and Technology
4. Saint Petersburg State University
5. Higher School of Economics
6. Novosibirsk State University
7. Bauman Moscow State Technical University
8. National Research Nuclear University MEPhI
Je, Umeona Chuo kinachompa Phd Samia hapo kwenye Orodha?
Chuo hata Mbunge Msukuma soon anaenda kuchukua Udaktari.. Alikuwa aende 2021 Corona ikamzuia kusafiri.. Ila kama Samia kaenda hamna neno.
Unafikiiri watetez wake huwa wanatumia akili?Ila tu wakweli,kwa upopompo wa huyu tuliyenae hata team yake inateseka kumtetea 🤣
Kama kawa, ishu niajeWe jamaa, Niaje..?
Hahahaha 😂😂😂 iMkuu mtake radhi Kung Fu panda yule ninja anajielewa sema mapepe mengi.
Huyu ni kama "Homer Simpson" ila wa kike Sasa.
shwary mzee, nilikuwa nakupa HI! mzeeKama kawa, ishu niaje
Unaweza kuthibitisha mungu anawazibua watu?Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani Sasa hivi kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania. Hakika huyu mama kwa Sasa anayaperekwsha haya manyumbu mpaka yanachanganyikiwa.
Kila wakiziba Mungu anawazibua anawaacha waziiii "fwaaaa"! Mamamamamaee. Na Bado.......