Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
View attachment 1653607
View attachment 1653608
Drone siyo camera.Haha Haha
Nchi hii kila kitu lazima usomeee yani hata waliogundua hawahasoma kama sisi..
Kila kitu
Leseni, cheti, ada, nk...
Sawa haya nenda kasomee urubaniDrone siyo camera.
Mimi?Sawa haya nenda kasomee urubani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wanamatatizo kwenye akili zao