Habari zenu wakuu,
Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT.
Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa
Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za ukanda wa mashariki