Hapo ndipo anaposoma kwa sasa mkuuSAUT ipo poa kama ulivyo iweke hapo
Kakuambia nje ya nchi. Muwe mnasoma Uzi Kwanza kwa Utuo ( Vyema ) na Kuuelewa kisha ndipo mjibu ili msije kuonekana mna Akili za Kipa Katoka ( Juha ) kabisa.SAUT ipo poa kama ulivyo iweke hapo
Tusibishane nitakulapua makofi lazima ashauliwe kubaki SAUTKakuambia nje ya nchi. Muwe mnasoma Uzi Kwanza kwa Utuo ( Vyema ) na Kuuelewa kisha ndipo mjibu ili msije kuonekana mna Akili za Kipa Katoka ( Juha ) kabisa.
Ngoja wadau waje kutoa mwongozoHapo ndipo anaposoma kwa sasa mkuu
Chagua kati ya Daystar University nchini Kenya au Makerere University nchini Uganda ndiyo viko Bora kwa Kozi hiyo kwa sasa.Habari zenu wakuu,
Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT.
Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa
Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za ukanda wa mashariki
Kwenda huko Pimbi mkubwa Wewe Ok?Tusibishane nitakulapua makofi lazima ashauliwe kubaki SAUT
Ahsante sana mkuuChagua kati ya Daystar University nchini Kenya au Makerere University nchini Uganda ndiyo viko Bora kwa Kozi hiyo kwa sasa.
Ukimpeleka hapo Daystar University tafadhali mwambie anisalimie mno Dk. Rahab Nyaga, Dk. Sister Lando na Dk. Ndati Ndeti.
Ungeuliza kwa hapa Tanzania wala nisingepoteza muda na ningekuambia kuwa mpeleke SAUT na angepikwa ipasavyo na Kuiva.
Shukran pia Karibu sana na mno Ndugu.Ahsante sana mkuu
Naomba umpeleke arhus school of journalism kipo denmark,vinginevyo mpeleke nairobi university ni chuo bora kabisaHabari zenu wakuu,
Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT.
Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa
Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za ukanda wa mashariki
Sawa kaka ahsanteNaomba umpeleke arhus school of journalism kipo denmark,vinginevyo mpeleke nairobi university ni chuo bora kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app