Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Siyo kuvurugwa!MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO.Nilisoma Engineering nikamaliza lakini ghafla tu nikatamani kwenda medicine(Degree) nafurahia Sana kazi yangu
Nyinyi ndio mna degree mpaka 17 zote za nini?
 
Wala sipingi mkuu inaonekana wewe ni miongoni mwa watu wasio na machaguo unafanya vitu kwa ushawishi au trend ya muda huo!
Ha ha ha ..Una ushamba wa kimazingira,umefungwa na fikra .Sikulaumu inawezakana hata hujawahi kusoma nje ya nchi
 
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Yah mkuu dirisha lipo wazi kwa sasa cha muhimu afanye application mapema maana competition ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…