Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

good qn mbebez!..
Kombi za "kimbebez" ni kombi ambazo hata mtoto wa "vidudu" anaelewa kama akipata mwalimu mzuri. Hazihitaji kuumiza akili kama ambavyo "mbebez" wasivyopenda shida!..baadhi ya "kombi za kimbebez" ni hgl,hkl,hgk,hge,egm,eca. Kombi za "milume" kama mimi dr.holygrail ni kombi ambazo hata upate div 4 hukosi kazi wala hutembei na bahasha maofisini kama "shoga". Mfano pcb,pcm,pgm,cbg,cba na kwa mbaaaali egm.

we umevulugwa, nadhan umepata div5 matokeo yaform4 yalyopga HolyGIRL
 
Last edited by a moderator:
Aisee Nilikuwa Naperuzi Jf Huku Namsikiliza Mzee Yusuf Kwa Mbaaali, Lakin Nilipokumbana Na Huu Uzi Nikazima Redio Na Kuanza Kuipiti Hii Mipasho Kwa Umakini. Kweli Jf Imebadilika
 
good qn mbebez!..
Kombi za "kimbebez" ni kombi ambazo hata mtoto wa "vidudu" anaelewa kama akipata mwalimu mzuri. Hazihitaji kuumiza akili kama ambavyo "mbebez" wasivyopenda shida!..baadhi ya "kombi za kimbebez" ni hgl,hkl,hgk,hge,egm,eca. Kombi za "milume" kama mimi dr.holygrail ni kombi ambazo hata upate div 4 hukosi kazi wala hutembei na bahasha maofisini kama "shoga". Mfano pcb,pcm,pgm,cbg,cba na kwa mbaaaali egm.

little minded
 
Hao hao unaodai wamesoma kombi za kimbebez ndo hao hao ambao wanakuongoza maofisini kwenu kama ma Human Resources na Adminstrators Managers/Officers..

Jinga Kabisa Wewe.

fact huyu jamaa ni mjinga cjapata kuona
 
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?

Cdti tengeru
 
The Roman's college tupo Morogoro kilombero wasiliana nasi kwa namba 0768 298 180 kwa maelekezo zaidi.

karibu sana!!
 
kumbe kasoma kombi za "kimbebez" mwambie akauze mama ntilie!...mwanaume mzma unasoma kombi za kike!...heshima iko wapi sasa!

Mwanaume akiniambia kasoma hgk, hgl, hkl, sociology na zinazofanana na hizo huwa nakosa story za kuongea nae.
 
Nenda Tengeru CDT wana hiyo kozi na jamaa aliyechukua HGL anapambana bila sap
 
Mimi nimechelewa kuiona hii thread, lakini kikubwa nina mashaka na huyo anayetaka kusoma hiyo degree programme, anauliza chuo gani kina "offer facult" ngoja niishie hapo. Hakuna chuo hapa duniani kinachoweza kutoa facult

siumjibu sasa kani si na wewe ulifundishwa ku-log in jf mkuu?
 
udom PPM & CD....zamani upepata ila kwa sasa kwa matokeo yako ni ngumu, wanachukuwa walio soma HGE, ECA, na HGE....kwa matokeo yako kama olevel ulifauli vizuri hesabu unaweza pata.
 
Course nzuri ila kama una mzio na hisabati utakua na kazi ya ziada
 
good qn mbebez!..
Kombi za "kimbebez" ni kombi ambazo hata mtoto wa "vidudu" anaelewa kama akipata mwalimu mzuri. Hazihitaji kuumiza akili kama ambavyo "mbebez" wasivyopenda shida!..baadhi ya "kombi za kimbebez" ni hgl,hkl,hgk,hge,egm,eca. Kombi za "milume" kama mimi dr.holygrail ni kombi ambazo hata upate div 4 hukosi kazi wala hutembei na bahasha maofisini kama "shoga". Mfano pcb,pcm,pgm,cbg,cba na kwa mbaaaali egm.

ondoa Egm kweny list yako boya ww kwanza mtu mwenye unasom diploma elimu yako ya kuunga unga
 
Back
Top Bottom