ANT - NYONDENYONDE
Senior Member
- Jul 29, 2024
- 154
- 173
No, πππUnapajua CBE? π
Nyumba sizinajengwa kwenda juu au maeneo ya karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, πππUnapajua CBE? π
Zile Blocks E, F na G unazifahamu vema?No, πππ
Nyumba sizinajengwa kwenda juu au maeneo ya karibu
Jamaa anapiga kaziNyuzi za Tumbili zimekuwa nyingi siku hizi
Ubunge πNyuzi za Tumbili zimekuwa nyingi siku hizi
Uko sahihi mkuu, Elimu kiganjaniZile Blocks E, F na G unazifahamu vema?
CBE ASA club je?
Elimu Kiganjani Mabweni ni mambo ya Ujima ya akina Mabibo πππ
Hii naiunga mkono moja kwa mojaKafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Cde salama?Mheshimiwa David Kafulila aingie Bungeni hapo Mwakani panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Nimeshangaa aisee!Vyuo huwa vinatoa digrii za heshima hayo ya ngao Chuo kutoa ndio nayasikia leo
Ngao mara nyingi hutolewa na machifu kwa mhusika
CBE wameanza kutoa ngao kama chuo?
Salama kabisa.Cde salama?
Habari za uteuziSalama kabisa.
Prof namjua, ni mtu makini, kwao Morogoro, na baba yake alikuwa prof, ila ngao hutolewa kwenye mechi za ngao ya hisani, kwa nini huyu muha sijui mrundi anahangaika kujipromote mitandaoni?View attachment 3101816
Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.
Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.
David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
Kuna huyo tajiri hapo akigawa "lim paper"Bweni la wanafunzi 12?
Hilo ndio limemfanya atunikiwe??
Uteuzi wa nani na nini.Habari za uteuzi
Kwa nini Serikali iuze ATCL? Hao wawekezaji Binafsi si wanzishe shirika lao, kama ilivyo Precision? Ethiopian Mpaka leo linamilikiwa na Serikali, na linafanya vizuri. KQ Serikali imeongeza %age ya umiliki....Usafiri wa anga ni strategic area kwa serikali kuumiliki, sio kuachia watu binafsi kama walivyoachiwa ATC kwa wale SAA wakati ule - si uliona kilichtokea?Kafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Hakuna haja ....wawekwe tu right people to the right positions....Emirates mpaka leo hawana mbia...na linafanya vizuri..Tusikariri jamani...Wapo watu wenye uwezo, hata ikibidi tuwaajiri kutoka nje - na kupewa malengo, kama sisi hatuna uwezoUko sahihi kabisa, ATCL iendeshwe kwa ubia
πππKuna huyo tajiri hapo akigawa "lim paper"
Kuna nyakati naona kabisa mfumo wa elimu wa kikoloni ulikuwa ni bora kuliko huu unaotumika sasa.
Maana hata vijana wengi kuunda sentensi moja ya kiingereza iliyokamilika hawawezi.
View attachment 3101977
Safi sana CBEView attachment 3101816