Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
😆😆Bweni la wanafunzi 12?
Hilo ndio limemfanya atunikiwe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆Bweni la wanafunzi 12?
Hilo ndio limemfanya atunikiwe??
SafiView attachment 3101816
===
Chuo Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Zacharia Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa lake.
Mkuu wa chuo hicho Prof. Eddnah Luoga asema chuo chake kimeamua kumtunuku ngao hiyo ya heshima katika kutambua juhudi zake kwenye kumpata mbia mwekezaji toka sekta binafsi atakayejenga mabweni katika chuo hicho yatakatokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja.
Mwekezaji huyo atawekeza kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na changamoto za wanafunzi kuishi mbali na eneo la chuo hicho jambo ambalo hupunguza zaidi ari, ufaulu na nguvu za kimasomo kwa wanafunzi.
David Zacharia Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPPC amekuwa akisisitiza wakati wote kuwa lazima Tanzà nia ifike wakati ambao Serikali yetu itapunguziwa mzigo katika kutekeleza miradi yake ya maendeleo hasa ile yenye sura ya kibiashara.
Mkurugenzi huyo anasema kwa kufanya hivyo kutaipunguzia Serikali mzigo na kuifanya itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake hasa ile yenye sura ya kibiashara ( projects contraction outside the government balance sheet )
===
View attachment 3104529
Ipo siku kitatoa kombe la mbuziVyuo huwa vinatoa digrii za heshima hayo ya ngao Chuo kutoa ndio nayasikia leo
Ngao mara nyingi hutolewa na machifu kwa mhusika
CBE wameanza kutoa ngao kama chuo?
Mabweni yanajengwa wapi, Mwanza, Dodoma au Dar kote huko kuna CBEZile Blocks E, F na G unazifahamu vema?
CBE ASA club je?
Elimu Kiganjani Mabweni ni mambo ya Ujima ya akina Mabibo 😂😂😂
Mfupa mugumu huoHaya aongeze mbinu na TTCL iende PPP
Kajitahidi kufanya nini au mnaridhika na maneno tu, katika yote aliyowahi kusema ni mradi upi umezinduliwa au kukamilika?Currency yetu imeimarika kimtindo, kajitahidi.
Mabweni kwani pale ni Sekondari 😂Mabweni yanajengwa wapi, Mwanza, Dodoma au Dar kote huko kuna CBE
TANESCO kutafutiwa washindani wengine nakubaliana na wewe, ATCL kubinafsishwa haiwezekani.Kafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Nishati ndio inaweza kupokea wawekezaji wengi bila ya tatizo kuja kutokea mbele ya safari. Kila serikali makini inamiliki shirika lake binafsi la ndege.Kwa nini Serikali iuze ATCL? Hao wawekezaji Binafsi si wanzishe shirika lao, kama ilivyo Precision? Ethiopian Mpaka leo linamilikiwa na Serikali, na linafanya vizuri. KQ Serikali imeongeza %age ya umiliki....Usafiri wa anga ni strategic area kwa serikali kuumiliki, sio kuachia watu binafsi kama walivyoachiwa ATC kwa wale SAA wakati ule - si uliona kilichtokea?
Wewe mwenye uraia wa halali hujawahi kuifanyia lolote Tanzania hii.Sawa japo jamaa sio raia hata hivyo
Najitahidi namna ya kukujibu ,ila nashindwa hata nimsaidie wapi huyu tumbili wa werema...hamna kitu pale.Kajitahidi kufanya nini au mnaridhika na maneno tu, katika yote aliyowahi kusema ni mradi upi umezinduliwa au kukamilika?
Wanazidi ku-diviate kwenye jukumu la msingi badala ya kuongeza majengo waongeze vitivo waweze kupata kipato zaidi hostels achia sekta binafsi huko wawekeze kumaintain hostels ni gharama zaidi ya madarasaKarne hii mnajenga Hostel?
😂😂😂😂
Mjini kati kabisa kwenda Kkoo, Fire, Magomeni, Feri, Upanga unatembeaUnapajua CBE? 😂
Anahangaika na petty issues asikike wakati shirika kama ttcl liko/lilikuwa kwenye uwezo wa kufanya biashara ya data/ Internet na kupata faida mara dufu kabla hata ya makampuni mengine hayaweka mkazo hukoHata TTCL ni majanga sana, haya ndiyo maeneo ayatupie macho sasa ili kuleta ufanisi na tija
Kalulu Grocery unaijua? 😂Mjini kati kabisa kwenda Kkoo, Fire, Magomeni, Feri, Upanga unatembea
Ndio mkuuKalulu Grocery unaijua? 😂
Nimegonga sana BIA pale na Cresentius Magori wa SC na Mr Irungu wakiwa Walimu CBE 😂😂😂Ndio mkuu
Kafulila ni mtu mzuriView attachment 3101816