JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
- Thread starter
- #21
Milunda ndiyo expansion joint?Hiyo si ndio tuliambiwa ni expansion joint , au wewe haukuwepo ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milunda ndiyo expansion joint?Hiyo si ndio tuliambiwa ni expansion joint , au wewe haukuwepo ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Acha uongo,Jakaya alikuwa mkuu wa chuo hata kabla Magufuli hajakufa. Jakaya kawa mkuu wa chuo baada balozi Kazaura kufariki dunia.Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa Chuo na Magufuli mwenyewe January 2016.Usisahau Magufuli alipopumzishwa, Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa chuo. The flat the surface the flat the sky, the polygon the shape the polygon the figure.
Awamu ya kwanza iliisha, sasaivi wanaongeza gorofa nyingine juu.Aliteuliwa na nani?
Pita pale magorofa yanaendelea na ujenzi mzee acha maneno mengi.Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.
Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.
Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Expansion joint zimeisha?Pita pale magorofa yanaendelea na ujenzi mzee acha maneno mengi.
[emoji23][emoji23]Expansion joint zimeisha?
Uko nyuma ya wakatiExpansion joint zimeisha?
KabisaaaaUko nyuma ya wakati
Mambo ya hostel kujengwa na vyuo yamepitwa na wakati. Vyuo vijenge lecture rooms/thetres, libraries, laboratories etc kwa kuwa ndiyo vina uhusiano kati ya uwekezaji kwenye elimu na matokeo. Hostels zijengwe na sekta binafsi tu.Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.
Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.
Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Projects alizofanya Magufuli kwa kutumia TBA hazina ubora kabisa. Hayo majengo ya UDSM na magorofa ya Magomeni yana workmanship ya HOVYO kabisa.Zile zenye "Joint Expansion" na aliyepiga picha akasukwa sukwa??
Yaani Majengo ya pale Magomeni yana nyufa za kutosha na zile Hosteli zake pia ni hivyo hivyo!!
Hajui hata kazi za mkuu wa chuo.na vise yeye yupo tuUkuu wa chuo mbona muungwana alikuwa nao kabla hata ya jamaa kupumzika
Hayo ndio ma mbumbumbu ya sukuma ganghakuna hostel za Magufuli zile ni hostel za chuo zilizojengwa kwa kodi zetu watanzania wote.
kama kodi zenu ndizo zilizojenga mbona hazimaliziwi?magufuli alitoa wazo akalisimamia ndipo kodi ikatumikahakuna hostel za Magufuli zile ni hostel za chuo zilizojengwa kwa kodi zetu watanzania wote.
Sijui kwanini nimekumbuka ile 1.5 trillion na ela zilizofichwa chinaShida ni Magufuli kutangulia mbele ya haki. Kuna watu walizaliwa na vipawa vya kuweza kufanya mambo, JPM alikuwa na sifa mbili ambazo ni nadra sana kuzikuta kwa mtu mmoja.
1. He was smart
2. He was hardworking
Hiyo ni combination adhimu mno.
Hizo stori tu za wahuni.Sijui kwanini nimekumbuka ile 1.5 trillion na ela zilizofichwa china
Kwa hyo hizo hostel zilimaliza tatitzo lililokuwepo?Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.