Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshindwa kuzimalizia Hosteli za Magufuli?

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshindwa kuzimalizia Hosteli za Magufuli?

Usisahau Magufuli alipopumzishwa, Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa chuo. The flat the surface the flat the sky, the polygon the shape the polygon the figure.
😆😆😆 Kudadeq nimecheka mpaka nimepaliwa JK unasikia huku lakini the flat the surface the flat the sky, the polygon the shape the polygon the figure
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.
Labda ztamalizia Samia ili kipewe jina lake kama complex ya Dodoma
 
Mambo ya hostel kujengwa na vyuo yamepitwa na wakati. Vyuo vijenge lecture rooms/thetres, libraries, laboratories etc kwa kuwa ndiyo vina uhusiano kati ya uwekezaji kwenye elimu na matokeo. Hostels zijengwe na sekta binafsi tu.

Sasa ukiyaangalia yale mabweni alyiyoamuru yajengwe na TBA quality yake ya hovyo na yamechakaa kuliko yale mabweni yalijengwa wakati wa Nyerere
Ndiyo sababu wameshindwa kuyamalizia?
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Hee kumbe hamkuzimaliza pamoja na majigambo yote Yale? 🤣🤣
 
Shida ni Magufuli kutangulia mbele ya haki. Kuna watu walizaliwa na vipawa vya kuweza kufanya mambo, JPM alikuwa na sifa mbili ambazo ni nadra sana kuzikuta kwa mtu mmoja.

1. He was smart
2. He was hardworking

Hiyo ni combination adhimu mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndiye alijenga zile hostel zenye expansion joints au siyo yeye?
Eti kwako ndiyo mtu smart sasa sijui wewe utakuwa mtu wa aina gani kama yeye kwako ndiye mtu smart.
 
Back
Top Bottom