Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshindwa kuzimalizia Hosteli za Magufuli?

Usisahau Magufuli alipopumzishwa, Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa chuo. The flat the surface the flat the sky, the polygon the shape the polygon the figure.
Acha uongo,Jakaya alikuwa mkuu wa chuo hata kabla Magufuli hajakufa. Jakaya kawa mkuu wa chuo baada balozi Kazaura kufariki dunia.Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa Chuo na Magufuli mwenyewe January 2016.
 
Pita pale magorofa yanaendelea na ujenzi mzee acha maneno mengi.
 
Mambo ya hostel kujengwa na vyuo yamepitwa na wakati. Vyuo vijenge lecture rooms/thetres, libraries, laboratories etc kwa kuwa ndiyo vina uhusiano kati ya uwekezaji kwenye elimu na matokeo. Hostels zijengwe na sekta binafsi tu.

Sasa ukiyaangalia yale mabweni alyiyoamuru yajengwe na TBA quality yake ya hovyo na yamechakaa kuliko yale mabweni yalijengwa wakati wa Nyerere
 
Zile zenye "Joint Expansion" na aliyepiga picha akasukwa sukwa??

Yaani Majengo ya pale Magomeni yana nyufa za kutosha na zile Hosteli zake pia ni hivyo hivyo!!
Projects alizofanya Magufuli kwa kutumia TBA hazina ubora kabisa. Hayo majengo ya UDSM na magorofa ya Magomeni yana workmanship ya HOVYO kabisa.
 
Shida ni Magufuli kutangulia mbele ya haki. Kuna watu walizaliwa na vipawa vya kuweza kufanya mambo, JPM alikuwa na sifa mbili ambazo ni nadra sana kuzikuta kwa mtu mmoja.

1. He was smart
2. He was hardworking

Hiyo ni combination adhimu mno.
 
hakuna hostel za Magufuli zile ni hostel za chuo zilizojengwa kwa kodi zetu watanzania wote.
Hayo ndio ma mbumbumbu ya sukuma gang
Hata juzi ktk uzinduzi wa Ikulu Dodoma yalikuwa yanalalamika eti magufuli hatajwi tajwi sana kama viongozi wengine. Ooh sijui alifanya hivi na hivi hawamtendei haki yaan kuna majitu Mazuzu sana nchi hii na yangekuwepo kipindi cha mkoloni tungekuwa bado tunatawaliwa hadi Leo.
 
Shida ni Magufuli kutangulia mbele ya haki. Kuna watu walizaliwa na vipawa vya kuweza kufanya mambo, JPM alikuwa na sifa mbili ambazo ni nadra sana kuzikuta kwa mtu mmoja.

1. He was smart
2. He was hardworking

Hiyo ni combination adhimu mno.
Sijui kwanini nimekumbuka ile 1.5 trillion na ela zilizofichwa china
 
Waliacha matoleo ya nguzo kwa ajili ya mwendelezo nadhani umeona mwendelezo ambao umeanza mwaka huu.
 
Kwa hyo hizo hostel zilimaliza tatitzo lililokuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…