Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa

Chawa katika ubora wake
 
Chukua ushauri wa brother Paskali, unatamani uwe peke ako unaempenda rais, kuna mambo anafanya vizuri anasifiwa na mengine anakosea na anakosolewa ndio maisha yalivyo..

Hamna aliekamilika 100%
 
Umeme sisi huku haukatiki , pia mbolea kwa Sasa imeshuka Bei baada ya mh Rais kutoa Ruzuku lakini pia soko Ni la uhakika kwa sasa
Africa rais ata awe mjinga vp lakin akitaka kujisafisha ni jambo simpo kwa chawa kama nyinyi, Rais anatengeza tatizo kisha analitatua, wajinga mtamshangilia sana kwa kutatua tatizo alilolianzisha siku chache zilizopita. NONSENSE
 
Tatizo gani alilolianziasha mh Rais wetu?
 
Umeme sisi huku haukatiki , pia mbolea kwa Sasa imeshuka Bei baada ya mh Rais kutoa Ruzuku lakini pia soko Ni la uhakika kwa sasa
Mimi nafikiri shamba lako unalolilima liko kwenye Yale mabasi ya Ester Coach.
 
Ila Kwenye uvumilivu Nampa 1, Kwa namna tunavyomsema vibaya angekuwa mwingine tungeuawa sana.
 
Ila Kwenye uvumilivu Nampa 1, Kwa namna tunavyomsema vibaya angekuwa mwingine tungeuawa sana.
Ni Rais aliyekamilika na anayependwa na mamillion ya watanzania, Hana muda wa kuumuumiza mtu, Ni Rais mwenye Hekima busara upendo na moyo wa subira
 
Kwani wewe huzioni juhudi za mh Rais katika kuinua maisha ya mtanzania mnyonge, huoni namna anavyopambana kusogeza huduma karibu ya Mtanzania Alipo,
Uliyepo huko mjini labda ndio unachoona ila kijijini watoto hawapati hata sabuni ya kufulia uniform zao mche wa sabuni ulikua 2000 na hawakuweza kumudu kuununua leo hii mche huo huo ni 3500 wataweza kumudu?
 
kwann iwe UDSM na sio chuo chenu pendwa cha kule Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…