Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Tume siyo inayochagua Bali kazi yake Ni kumtamgaza mshindi, Sasa nyie mnazani mtatangazwa na Nani kuwa Ni washindi wakati wananchi walishawapuuza baada ya kuwa mmekosa Sera ajenda na hoja zenye ushawishii kwa wananchi wanyonge, Hamuwezi mkapata kura kutoka kwa watanzania wa Sasa,
Watanzania Wana imani na CCM ndio maana unaona wakiiamini kwa kuipa kura za kishindo huku nyie mkilalama kuibiwa bila kujuwa kuwa Ni ukosefu wa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania ndizo zilizowafanya muwe mnatoka kapa na kupuuzwa kila uchaguziTume ya uchaguzi na uchaguzi wa kweli uko Kenya, hapa hakuna tume wala uchaguzi, bali kuna maenyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nyie si mlikimbiaga katika ukumbi wa bunge maalumu la katiba? Tulieni hivyo hivyo muache mama aongoze na kuwatumikia watanzania kwa amani na utulivuNitaanzisha kampeni rasmi mama kupewa hicho unacholiita PhD kama atafanikisha upatikanaji wa katiba mpya tu na sio vinginevyo!!
Wenye akili wanaandika hivi;-
"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Ilipangwa iwe vile!N
Nyie si mlikimbiaga katika ukumbi wa bunge maalumu la katiba? Tulieni hivyo hivyo muache mama aongoze na kuwatumikia watanzania kwa amani na utulivu
Hakuna chama Wala mtu awezaye kuitikisa CCM ndani ya nchi hii, Ni CCM Ndio tumaini la kipekeee kwa watanzania katika kuwaletea maendeleo, hao wengine Ni wasaka tonge tu ndio maana unaona kwa Sasa upinzani umekosa ushawishi kwa watanzaniaIlipangwa iwe vile!
Usifikiri yalitokea KWA Bahati mbaya!!
Mngewaelewa Chadema msingetumia NGUVU Sana kupambana nao!lengo la CHADEMA halikuwa kuchukua dola!
Wapo KWA ajili ya KAZI maalumu na Sasa imeisha na chama kitakufa rasmi Baada ya katiba kupatikana na ccm mpya itazaliwa na kuwa chama kingine chenye mwelekeo Mpya kabisa KWA jina jingine!!
Hakuna ccm itakayosimama Baada ya katiba Mpya kupatikana!!
Muda wa kitabu kipya umefika rasmi na siasa mpya zitazaliwa Nadhani tukutane huko Baada ya Zama za giza tulizopitia!!
"Shiriki kibwagizo hiki:-
"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Kilikuwa Hivyo zamani KABLA ya boys to men!!walipoingia vijana wale na kuharibu ccm na Kuwa ilivyosasa ndipo wenye NCHI walipomwambia jk aanzishe mchakato wa katiba mpya awamu ile wakiona HATARI ya chama kuja Kuwa cha ukoo wa kifisadi kama ilivyo Sasa!! ndio maana mchakato imeanza Ili siasa mpya zizaliwe Rasmi Baada ya katiba Mpya kupatikana!!Hakuna chama Wala mtu awezaye kuitikisa CCM ndani ya nchi hii, Ni CCM Ndio tumaini la kipekeee kwa watanzania katika kuwaletea maendeleo, hao wengine Ni wasaka tonge tu ndio maana unaona kwa Sasa upinzani umekosa ushawishi kwa watanzania
Watanzania Wana imani na CCM ndio maana unaona wakiiamini kwa kuipa kura za kishindo huku nyie mkilalama kuibiwa bila kujuwa kuwa Ni ukosefu wa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania ndizo zilizowafanya muwe mnatoka kapa na kupuuzwa kila uchaguzi
Hujaweka namba ya simuNdugu zangu hayo Ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati Daktari John Pombe Magufuli
Ndugu zangu ilikuwa Ni mshituko mkubwa Sana kwetu watanzania kuondokewa na Rais aliyepo madarakani, kwani hakuna aliyekuwa akiwaza Wala kufikiria Wala kuota Kama Jambo lile linaweza kutokea, maana kwetu watanzania lilikuwa Ni Jambo geni sana ambalo halijawahi kutokea,
Hapa shukurani zangu za kipekeee kabisa lazima liviendee vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilivyohakikisha kuwa mipaka yetu na nchi yetu inaendelea kuwa salama kabisa, lakini pia Namshukuru mwenyezi Mungu ambaye siku zote amekuwa nasi watanzania kwa kutuvusha salama salmini katika kipindi kigumu, lakini pia nawashukuru viongozi wetu wastaafu na hata waliopoo madarakani waliohakikisha nchi inakuwa na utulivu na wanatuongoza watanzania kuvuka salama katika bonde lile la uvuli, Asante pia kwa watanzania kwa namna ambavyo tulibaki watulivu na kuungana Kama Taifa mpaka mwisho wa kuhitimisha safari yake Hayati Magufuli katika nyumba yake ya Milele kule CHATO
Ndugu zangu macho yetu watanzania ndani na nje ya mipaka yetu yakaelekezwa kwa Mama huyu shupavu, mwenye moyo wa huruma upendo na unyenyekevu ulio jaa hekima busara Subira na Aliyejaa hofu ya Mungu, mwenye upendo wa kweli kwa watu na mzalendo wa dhati kwa nchi yetu, msikivu na mwenye kumaanisha kile akitamkacho, mwenye kuchuja maneno na kuchunga ulimi wake
Mh Rais wetu mpendwa Taratibu akaanza kufufua na kuinua matumaini ya watanzania ambayo wakati huo Tulikuwa Tumetoka kwenye majonzi na mshituko, akaanza kuwa mfariji wetu, Akaanza kutufuta machozi, Akaanza kutushika mikono kutunyanyua tulipo kaa ili tuanze safari ya Kuendelea kazi ya kuijenga nchi yetu kwa kauli yake ya kazi iendelee, Akaanza kutuunganisha watanzania kukabili maadui wetu wa ujinga umasikini maradhi Rushwa na ufisadi
Kuna watu walikuwa wamekata Tamaa, Kuna watu walikuwa wanatamani hata kuona kila baya linaipata Tanzania, lakini mama huyu Hodari akazizima roho hizo chafu na kupanda mbegu za upendo na uzalendo katika mioyo watanzania, Ndio maana unaona Leo hii Taifa Ni moja likisonga kwa pamoja,
Hivyo ndugu zangu kwa kuyawaza hayo Nikaona kuwa Ili kuonyesha kutambua mchango wa Rais huyu Hodari haina budi kwa Chuo Kama UDSM kumpa Udaktari wa Heshima mh Rais wetu mpendwa katika uongozi na mahusiano ya kimataifa, sote Ni mashahidi namna mh Rais wetu alivyoliongoza vyema Taifa letu kutoka katika kipindi hicho na namna maendeleo mbalimbali yalivyopatikana, kwani Tumeona namna miradi mingi ilivyojengwa na hata kuendeleze Ile iliyokuwa imeanza kujengwa
Tumeona namna alivyojenga umoja wa kitaifa na mshikamano wa watanzania, Tumeona namna nchi yetu ilivyopata mafuriko ya watalii pamoja na wawekezaji baada ya kuimarisha diplomasia yetu, Tumeona namna alivyoimarisha demokrasia na mahusiano mema na vyama vya upinzani kwa kuwachukulia wapinzani Kama wadau wa maendeleo na kuamini kuwa tunaweza tukatofautiana lakini bado tukaijenga nchi yetu kwa pamoja na tukajivunia mafanikio yetu kwa pamoja
Ni vyema atunukiwe na kupewa heshima hiyo ili Kuendelea kumpa faraja ya kusonga mbele zaidi na kuliinua Taifa hili kiuchumi, Nimependekeza UDSM maana najuwa ndio chuo kikongwe hapa nchini ambacho huwezi ukakiweka kando katika maendeleo tuliyoyafikia Leo hii kupitia wasomi wake waliopita na kupikwa pale,
Niseme tu ukweli Mimi LUCAS Mwashambwa Kama kijana nimetokea kuvutiwa na kuridhishwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, Ni Imani yangu kuwa ombi hili litapokelewa na kutafakariwa vyema, Apewe tu maana Anastahili kupewa, Ametutoa pagumu Sana watanzania mpaka kufika hapa tulipo, maana amepokea nchi kipindi Cha mdororo wa uchumi Duniani
Kazi iendeleee, Mh Rais Samia Ndiye Joshua wetu atakayetufikisha Kanaan, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka na wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Hujaweka namba ya simu
Sasa nyie kwa Sera zipi hasa ambazo huwa mnategeemea kupewa kura Hadi mseme mnaibiwa kura utazani hamuwekaagi mawakala vituo vya kupigia kuraWangekuwa na Iman na CCM mngetegemea vyombo vya dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi kutangaza washindi kwa shuruti? Au unadhani huwa hatuoni ule ushenzi uitwao uchaguzi? Na kwa sasa wanaendelea kulipuuza box la kura, na matokeo yake wapiga kura wanazidi kuwa wachache kila uchwao.
CCM Ni Kama maji tu usipoyanywa utayaoga tu, Hakuna mbadala wa CCm hapa nchini, Haupo na HautakuwepoKilikuwa Hivyo zamani KABLA ya boys to men!!walipoingia vijana wale na kuharibu ccm na Kuwa ilivyosasa ndipo wenye NCHI walipomwambia jk aanzishe mchakato wa katiba mpya awamu ile wakiona HATARI ya chama kuja Kuwa cha ukoo wa kifisadi kama ilivyo Sasa!! ndio maana mchakato imeanza Ili siasa mpya zizaliwe Rasmi Baada ya katiba Mpya kupatikana!!
Muda wa CCM na Chadema kufa umefika na vyama vipya vizaliwe Ili kuleta mwelekeo mpya wa TANZANIA Mpya Nadhani tukutane huko!!
Uchaguzi wa 2020 Ndio wa Mwisho kwa katiba hii iliyopo!!
Karibu Sana kwenye Chama changu kipya cha ssp (self reliance and socialist party) au chama cha ujamaa na kujitegemea (cuk) Baada ya katiba Mpya kupatikana!
TUSUBIRI!!
Najua ndivyo makomredo wengi tulivyokariri mambo ni ngumu kubadilika!!CCM Ni Kama maji tu usipoyanywa utayaoga tu, Hakuna mbadala wa CCm hapa nchini, Haupo na Hautakuwepo
Sasa nyie kwa Sera zipi hasa ambazo huwa mnategeemea kupewa kura Hadi mseme mnaibiwa kura utazani hamuwekaagi mawakala vituo vya kupigia kura
CCM Ni Kama maji tu usipoyanywa utayaoga tu, Hakuna mbadala wa CCm hapa nchini, Haupo na Hautakuwepo
Basi uchaguzi ujao njoo na hizo Sera kutoka huko uliko zificha uone Kama watanzania watakusikiliza, kwa Sasa watanzania wapo na mama ndani ya sakafu za mioyo yao, Nazani umeona mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani alivyoteka uapisho wa William Ruto huko Kenya kwa namna mh Rais wetu anavyokubalika na kupendwa mpaka nje ya mipaka ya Tanzania yetuWw utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio mlilishwa huo utapeli uitwao sera. Kama mngekuwa na sera hii nchi ingekuwa masikini hivi? Mawakala hao ambao wakurugenzi wanagoma kuwaapisha? Narudia tena, uchaguzi na sera ziko hapo Kenya, hapa kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Basi uchaguzi ujao njoo na hizo Sera kutoka huko uliko zificha uone Kama watanzania watakusikiliza, kwa Sasa watanzania wapo na mama ndani ya sakafu za mioyo yao, Nazani umeona mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani alivyoteka uapisho wa William Ruto huko Kenya kwa namna mh Rais wetu anavyokubalika na kupendwa mpaka nje ya mipaka ya Tanzania yetu
Upuuzi mtupu.Ndugu zangu hayo Ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati Daktari John Pombe Magufuli
Ndugu zangu ilikuwa Ni mshituko mkubwa Sana kwetu watanzania kuondokewa na Rais aliyepo madarakani, kwani hakuna aliyekuwa akiwaza Wala kufikiria Wala kuota Kama Jambo lile linaweza kutokea, maana kwetu watanzania lilikuwa Ni Jambo geni sana ambalo halijawahi kutokea,
Hapa shukurani zangu za kipekeee kabisa lazima liviendee vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilivyohakikisha kuwa mipaka yetu na nchi yetu inaendelea kuwa salama kabisa, lakini pia Namshukuru mwenyezi Mungu ambaye siku zote amekuwa nasi watanzania kwa kutuvusha salama salmini katika kipindi kigumu, lakini pia nawashukuru viongozi wetu wastaafu na hata waliopoo madarakani waliohakikisha nchi inakuwa na utulivu na wanatuongoza watanzania kuvuka salama katika bonde lile la uvuli, Asante pia kwa watanzania kwa namna ambavyo tulibaki watulivu na kuungana Kama Taifa mpaka mwisho wa kuhitimisha safari yake Hayati Magufuli katika nyumba yake ya Milele kule CHATO
Ndugu zangu macho yetu watanzania ndani na nje ya mipaka yetu yakaelekezwa kwa Mama huyu shupavu, mwenye moyo wa huruma upendo na unyenyekevu ulio jaa hekima busara Subira na Aliyejaa hofu ya Mungu, mwenye upendo wa kweli kwa watu na mzalendo wa dhati kwa nchi yetu, msikivu na mwenye kumaanisha kile akitamkacho, mwenye kuchuja maneno na kuchunga ulimi wake
Mh Rais wetu mpendwa Taratibu akaanza kufufua na kuinua matumaini ya watanzania ambayo wakati huo Tulikuwa Tumetoka kwenye majonzi na mshituko, akaanza kuwa mfariji wetu, Akaanza kutufuta machozi, Akaanza kutushika mikono kutunyanyua tulipo kaa ili tuanze safari ya Kuendelea kazi ya kuijenga nchi yetu kwa kauli yake ya kazi iendelee, Akaanza kutuunganisha watanzania kukabili maadui wetu wa ujinga umasikini maradhi Rushwa na ufisadi
Kuna watu walikuwa wamekata Tamaa, Kuna watu walikuwa wanatamani hata kuona kila baya linaipata Tanzania, lakini mama huyu Hodari akazizima roho hizo chafu na kupanda mbegu za upendo na uzalendo katika mioyo watanzania, Ndio maana unaona Leo hii Taifa Ni moja likisonga kwa pamoja,
Hivyo ndugu zangu kwa kuyawaza hayo Nikaona kuwa Ili kuonyesha kutambua mchango wa Rais huyu Hodari haina budi kwa Chuo Kama UDSM kumpa Udaktari wa Heshima mh Rais wetu mpendwa katika uongozi na mahusiano ya kimataifa, sote Ni mashahidi namna mh Rais wetu alivyoliongoza vyema Taifa letu kutoka katika kipindi hicho na namna maendeleo mbalimbali yalivyopatikana, kwani Tumeona namna miradi mingi ilivyojengwa na hata kuendeleze Ile iliyokuwa imeanza kujengwa
Tumeona namna alivyojenga umoja wa kitaifa na mshikamano wa watanzania, Tumeona namna nchi yetu ilivyopata mafuriko ya watalii pamoja na wawekezaji baada ya kuimarisha diplomasia yetu, Tumeona namna alivyoimarisha demokrasia na mahusiano mema na vyama vya upinzani kwa kuwachukulia wapinzani Kama wadau wa maendeleo na kuamini kuwa tunaweza tukatofautiana lakini bado tukaijenga nchi yetu kwa pamoja na tukajivunia mafanikio yetu kwa pamoja
Ni vyema atunukiwe na kupewa heshima hiyo ili Kuendelea kumpa faraja ya kusonga mbele zaidi na kuliinua Taifa hili kiuchumi, Nimependekeza UDSM maana najuwa ndio chuo kikongwe hapa nchini ambacho huwezi ukakiweka kando katika maendeleo tuliyoyafikia Leo hii kupitia wasomi wake waliopita na kupikwa pale,
Niseme tu ukweli Mimi LUCAS Mwashambwa Kama kijana nimetokea kuvutiwa na kuridhishwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, Ni Imani yangu kuwa ombi hili litapokelewa na kutafakariwa vyema, Apewe tu maana Anastahili kupewa, Ametutoa pagumu Sana watanzania mpaka kufika hapa tulipo, maana amepokea nchi kipindi Cha mdororo wa uchumi Duniani
Kazi iendeleee, Mh Rais Samia Ndiye Joshua wetu atakayetufikisha Kanaan, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka na wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Uchawa utawaua................hana sifa hizoNdugu zangu hayo Ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati Daktari John Pombe Magufuli