and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Watanzania wamekuwa waoga kusikiliza hoja kinzani,wame ndiyo ,ndiyo kosa woga kujibu hoja kwa hoja,vivyo wanaweza ni Bora kutozisikia hoja zenyewe🤔Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Ule utamaduni wa midahalo UDSM umeuwawa na wanasiasa hasa kuanzia Magufuli 2015.Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Anzisha wewe huo mdahaloChuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Ngumbaru mbona ghafla?Anzisha wewe huo mdahalo
Yaani unapanga vitu kwenye fuvu lako halafu unataka vitokee tu
Mental health is very serious aisee
Mimi ni zao UDSM ile kongweN
Ngumbaru mbona ghafla?
Midahalo haitakiwi.Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Kwani wenyewe wanalijua hilo! Naona kama wako kwenye eda ya kufiwa na Kuhanga.Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
HongeraMimi ni zao UDSM ile kongwe
Ikulu Magettoni, Bunge kikoba cha CCM, Mahakama kijiweni, Chuo kikuu Jalalani, yaaani kila rangi imeonekena this time around.
Wasomi waliondoka hapo UDSM, waliobaki ni wanaokariri tu!Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.