JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi sijui. Sijui wamerogwa? Wako rigid. Hawaendani na muda.
Ofisi ya Utawala ni ya hovyo, yafanya kazi kwa mazoea. Ukipata ajira leo, utasota sana hadi uingie kwenye payroll. Mwaka jana ndugu yangu kapata kazi Muhimbili, na wenzake classmates waliitwa UDSM. Ndugu yangu Muhimbili ashapewa ajira kitambo na mshahara anakula licha ya kupelekwa kusoma lakini UDSM ni longolongo tu. Mpaka kesho wanasubiri...
Kupandishwa maraja nako ni karaha.
Pesa kutolewa kwa mlolongo mrefu sana, hadi nyingine utaishia kuzikatia tamaa.
Mambo ya Mlimani huenda slow sana. Hayahitaji haraka.
Halafu hii tabia ya kulipa professors per diem ya 100.000 per day ndio muongozo special wa chuo?