Tetesi: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam warekebishe Utawala

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
533
Reaction score
652
Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi sijui. Sijui wamerogwa? Wako rigid. Hawaendani na muda.

Ofisi ya Utawala ni ya hovyo, yafanya kazi kwa mazoea. Ukipata ajira leo, utasota sana hadi uingie kwenye payroll. Mwaka jana ndugu yangu kapata kazi Muhimbili, na wenzake classmates waliitwa UDSM. Ndugu yangu Muhimbili ashapewa ajira kitambo na mshahara anakula licha ya kupelekwa kusoma lakini UDSM ni longolongo tu. Mpaka kesho wanasubiri...

Kupandishwa maraja nako ni karaha.

Pesa kutolewa kwa mlolongo mrefu sana, hadi nyingine utaishia kuzikatia tamaa.

Mambo ya Mlimani huenda slow sana. Hayahitaji haraka.

Halafu hii tabia ya kulipa professors per diem ya 100.000 per day ndio muongozo special wa chuo?
 
Professor per laki moja au unatania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo per diem nafikiri wanaangalia pia wewe ni profesor wa nn.
Sidhani kama professor wa coet analipwa sawa na professor wa fpa
 
Ni muongozo wa seriakli per diem kwa siku ni hiyo laki moja hadi laki na ishirini kwa Profesa na Muhadhiri mwandamizi, haijarishi ni profesa wa fani gani. Lakini pia kama ni per diem ya nje ya kituo cha kazi inategemea unaenda sehemu gani, kwa ndani ya nchi zinatofautiana kutokana na hadhi ya kiutawala ya sehemu kwa maana ya ukiwa kwenye jiji unalipwa tofauti na ukiwa kwenye manispaa au halmashauri pia ni tofauti ukiwa kwenye mji mdogo! hapoa pia ngazi ya kitaaluma huzingatiwa!
 
Back
Top Bottom