Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi.

Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo hayo:

Pia soma:
~
Hali ya Vyoo vya UDOM, College ya Education - Block C, hapa kipindupindu nje-nje
~ Hali ya vyoo Chuo Kikuu UDOM upande wa CNMS ni hatari kwa afya, huwezi amini kama ni Chuo Kikuu hapo
~ Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu
~ Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi
 
Yaan vyuo vinachapisha utaalamu waliogundua, utafiti waliofanya wao wanachapisha kazi za janitors?

Niendelee kucheza karata mimi
a39dd8b6-0e57-4def-b4ce-47c9af4fa3a8.jpeg
 
Wapuuzi wanatishia wanafunzi.. Jamhuri ya Muungano wa Makanusho imefikia mpaka levo za vyuo, taifa letu linaoza vibaya
 
Back
Top Bottom