Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

Kuanzia kesho tumuite Mtukufu Dr. Dr (hc) JPJ.........hongera kwake lakini la utawala bora kuna mtu kachomekea anafikiri tumelala.
 
Hivi hivyo viwanda viko wapi au vinejengwa kwenye bahari kuu? Maana ajira ni janga kubwa lakini kila siku tunaambiwa viwanda kadhaa vimejengwa.
 
Hivi mbona Marekani viongozi wao huwa hawatumii Dr au Prof au mheshimiwa. Wanaitwa kavu tu.
Nilisoma mahali kuwa Mzungu haezi kuoanisha au kushikanisha nafasi yake kielimu na Mambo ya siasa.........

Wanasema ukijiita Prof au Dr ..... Kwenye siasa basi ukifanya ujinga unafanya Kama Prof au Dr..hivyo kudharaulisha taaluma na huyo title.....ila ukiitwa tu Obama then ukifanya kosa unafanya Kama Obama na si Prof. Obama....

Ngumu kuelewa lakini ina mantiki Sana.... Coz huwezi kusema una Degree nne humsikilizi la Saba na huku huyu la Saba ndio amekuajiri kwa Kura na Kodi yake.
 
Ni wapumbavu pekee waaminio kujua kiingereza ni usomi, lugha haiwezi kuwa kigezo pekee cha kupima kiwango cha elimu, tofautisha intellect na education, muwe mnasoma kabla hamjaandika pumba humu,

Usishangae hata ww hujui lugha ni nini!
Shuleni ulisoma somo la kiingereza na eti ukafaulu masomo yaliyoandikwa kwa kiingereza! Lakini haukijui kiingereza! Rafiki yako uliyesomanae kafaulu somo la kiingereza ila wewe niseme tu ukweli umefeli hivyo kuhalalisha kufeli kwako waliofaulu unawaita wapumbavu!
 
Hivi mbona Marekani viongozi wao huwa hawatumii Dr au Prof au mheshimiwa. Wanaitwa kavu tu.
Umaskini na ujinga vilidumaza akili zetu, mtu akiwa kiongozi Africa anajikweza sana anaona km amebeba dunia, sisi nao wa chini kumkweza mwenzetu kama Mungu vile unamuita kiongozi majina yoooote unatamani ata umuite Mungu ila marekani washaridhika na hadhi walizonazo ata umuite mbwa hana wasiwasi anajua yuko juu huwezi kumshusha kisa jina
 
Nahisi labda viwanda vya kuhifadhi dagaa maana nasikia uchumi wa viwanda
Au hivyo viwanda vinajengwa mbinguni
"" ujenzi wa uchumi wa viwanda. ""
How,vikwapi..km viko kwenye process wanawahi nn kumpa "tunzo"
 
Wasomi wa nchi tunaotegemea kuja kutukomboa wanakuwa na itikadi za kumfanya mtu mungu kumpa mtu sifa asizostahili.
 
Back
Top Bottom