Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

Hivi mbona Marekani viongozi wao huwa hawatumii Dr au Prof au mheshimiwa. Wanaitwa kavu tu.
Unadhani na wao wana ulimbukeni kama hao marais wenu wa Afrika. After all mwafrika akili bado haja mature mentally ndio maana kuna sarakasi nyingi sana za kipumbavu zinazofanywa na watu wazima wenye mandevu.
 
lugha haiwezi kuwa kigezo pekee cha kupima kiwango cha elimu, tofautisha intellect na education, muwe mnasoma kabla hamjaandika humu,

Usishangae hata ww hujui lugha ni nini!
Mbona huyo mhusika vyote hana sasa.
intellect hana na education pia hana
 
Prof Bee amekosea sana angempa u profesa rais magufuli amefanya mambo makubwa sana jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukilinganisha na nchi nyingine nchi yetu tumepiga hatua sana.
Yani watanzinia tumekua kama watu wa libya baada ya gadafi kufa ndio wanaona umuhimu wake
 
Yaani hapa Tanzania ukitaka kuwa juu ya kila kitu wewe kuwa mwanasiasa tu.Nimeshangaa kuona wanafunzi choir ya UDOM wanaimba kusifia kila kitu wakati wakitoka hapo hata ajira hakuna.Wasomi wetu wanakuwa submissive sana kwa wanasiasa.
 
Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.


Hovyo kabisa
Hahaa kumbuka pia kwamba licha ya kupeana hizo honours kama ukivyoziita bado wananchi waliunga mkono na waliosimama kuwaambia ukweli walionekana hohehahe!

Labda nikuambie kitu kuhusu hiki kitabu, ukisoma kwa umakini hichi kitabu utagundua ya kwamba M.A Nanga si tu ni kiongozi asiyejua afanyalo maana jamaa hajui hata maana ya book exhibition na utamaduni ni nini!

Rais Magufuli si kama Nanga kwani hana unangaism, he is "an enemy of the people " na kwa sababu the compact majorities are wrong and most of them are fools ndio mana binafsi Magufuli ni sawa na Dr Stockman!!

Tatizo ni baadhi ya watu kuwa "fools" Magufuli hawamuelewa kwa sababu hiyo,
 
Kwa hiyo sasa hivi ataitwa Drs.maana sasa hivi ni Dr,ameongezwa tena udakitali yaana Dr + Dr =Drs. mbona kwa wenzetu wazungu hakunaga vitu kama hivyo,au maraisi wa huko siyo wabunifu kama wa kwetu?
 
Nawewe jiandae kumwita nyumbani kwako uje umtunukuu shahada.
 
Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.


Hovyo kabisa

Brilliant Chinua Achebe (marehemu). Aliiona hatma ya nchi za kiafrika mapema miaka ya 60 mwanzoni - kama ilivyotokea Nigeria tangu awali na kama inavyotokea hapa kwetu leo hii. Maisha ni full-kujikomba na kulamba viatu vya watawala. Maendeleo yamebakia kuwa porojo. Matumizi (miamala) inafanyika gizani. Ukweli ni mhanga nambari wani.
 
Mh. Rais anawalipua sasa [emoji44][emoji44][emoji44] hajafurahishwa kupewa degree ya bure...

Heko Mh. Rais maana wamekusifia sana hadi ilikuwa kero..

Hawa Ma Profesa wa UDOM wamedhirilika kuwa ni vilaza...
 
Hakuna aliyepewa Degree bure......


Kaikataa shahada
 
Back
Top Bottom