DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Unadhani na wao wana ulimbukeni kama hao marais wenu wa Afrika. After all mwafrika akili bado haja mature mentally ndio maana kuna sarakasi nyingi sana za kipumbavu zinazofanywa na watu wazima wenye mandevu.Hivi mbona Marekani viongozi wao huwa hawatumii Dr au Prof au mheshimiwa. Wanaitwa kavu tu.
Mbona huyo mhusika vyote hana sasa.lugha haiwezi kuwa kigezo pekee cha kupima kiwango cha elimu, tofautisha intellect na education, muwe mnasoma kabla hamjaandika humu,
Usishangae hata ww hujui lugha ni nini!
Sounds funny but it is very stupid.Profesa John Joseph Magufuli
Hahaa kumbuka pia kwamba licha ya kupeana hizo honours kama ukivyoziita bado wananchi waliunga mkono na waliosimama kuwaambia ukweli walionekana hohehahe!Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.
Hovyo kabisa
I'm shaking my head down.Tumefika pahala Maprofesa wamekuwa wapuuzi tu, ssamahani kwa hii lugha, yani watanzania wanaofanya tafiti, kugundua dawa, wengine wamefundisha panya kutegua mabomu hawajapewa hiyo heshma mnampa mtu anayeua viwanda kweli, WTF
Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.
Hovyo kabisa