Chuo Kikuu cha Harvard huko Marekani kimekuwa ni chukizo kwa wengi

Chuo Kikuu cha Harvard huko Marekani kimekuwa ni chukizo kwa wengi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda

Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?

 
Chuo kilichokuwa na miaka mingi kuishinda serkali?
 
Vyuo vingi marekani na ulaya vina unga mkono wapalestina tena jambo la kushangaza pichani wote ni wazungu
Umesahahu na kuwataja Wa Israeli wanaosoma na kupinga yanayoendelea gaza kwenye hizo shule.

Wajuvi wanadai hii Antisemitic inatumika tu kusindikiza ajenda zao za chama.

Wanadai pia, ikiwa chama kinadai free speech mbona za hao wanafunzi sio freespeech?
 
Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda

Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?

Lakini ndo chuo namba moja kwq ubora duniani
 
Kama mwenyekiti wa bodi ya chuo ni tycoon wa kipalestina unategemea nini; habari zake uzi umo humu jf.
 
Hawa si wamekatiwa hela na federal gvt kuhusiana na kutosikiliza amri za federal gvt na rais wa chuo alisema inapaswa uhuru wa kitaasisi.https://nl.nytimes.com/f/newsletter/dJIys_aOZ-90WFh60QG1yg~~/AAAAARA~/htdzP8kAdAWfgvAWi1MN-gfMDKDQGFJrYyaJ1BTMtemPk-uffMO5Jne8xa8g4nJxu7KXdVktk4JfkLeZm8oYUaEPcp66nxKw32WA4o_eNt_4DLx9NPBvfT0dGPiI5pMwxYj7GXwOT08tD5XHKFGeewm1KK6UEJ-O8g285C1PdevyczMbknxPtywmr5_GBzCKg4hyCE9qDTJOfNAVRBJ2Nltkqno_GJSKGr-Tgzmy2AS-ECaVazQc_7OAZx6FnvDfyF4dEW9ufMVfnrTsYCWtnR3GbMTUnGlNO663iafnLDQ1rDuzf6FN0Kiwl-R8KtYV6itCm4P8fhwI88rBLNRn43-RQP8Sz011PCTa5xJJNDIfPQ4dx6X7jmW3Q6D7Xdfn
 
Kwamba wao wanafunzi hawana uhuru wa kupinga ukoloni na uasi wa wayahudi dhidi ya wapalestina? Kwamba wakikaa kimya ndo chuo hicho kitakuwa ni chuo bora zaidi?
Wapalestina ni Tabaka la watu wanaoonewa zaidi duniani. Lazima watokee watu Wapinge mfumo huu wa uonevu hata kwa kelele bila bunduki mkononi.
Nb.
Katika hao wanaopinga uasi wa Israel dhidi ya binaadamu wa kipalestina wamo pia mamia ya wayahudi wasomao vyuoni humo.From the land to the sea Palestine will be free
 
Back
Top Bottom