Umesahahu na kuwataja Wa Israeli wanaosoma na kupinga yanayoendelea gaza kwenye hizo shule.Vyuo vingi marekani na ulaya vina unga mkono wapalestina tena jambo la kushangaza pichani wote ni wazungu
Lakini ndo chuo namba moja kwq ubora dunianiHarvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda
Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?
Inaitwa Christian ZiionismUkiwaunga mkono wayahudi ndo unakuwa na akili, I see sisi waswahili na hzi dn zetu za taifa teule nitabu Sana, hapo ndipo akili zetu zilipo ishia