Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 126
- 195
Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha St. Joseph mwaka 2017 kwa madai kwamba hakikuwa na vigezo. Bila kupepesa macho Kuna wanufaika wengi Sana walihitimu hiki chuo wengi wao walikuwa watumishi walikitumia kujiendeleza paspo kuhangaika kwenda mikoa ya mbali. Baada ya chuo hki kufungiwa imewakatisha tamaa wengi wa watumishi kwenda mikoa ya mbali kujiendeleza si unafahamu ukiwa kazini majukumu ya kifamilia yanakubana mbaya zaidi likija swala la kwenda mbali kujiendeleza kielimu.
Swali Lang ni je Kuna mwenye taarfa lini chuo hiki kitafunguliwa Tena? Kilikuwa muhimu Sana sababu kilitoa koz nyingi pmj na za Sayansi katika elimu.
Swali Lang ni je Kuna mwenye taarfa lini chuo hiki kitafunguliwa Tena? Kilikuwa muhimu Sana sababu kilitoa koz nyingi pmj na za Sayansi katika elimu.