milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
- Thread starter
- #61
Mwecau ilianza vizuri,ila miaka mitano iliyopita,Kuna ambao hawajui chuo kilianzia wapi ,wameanza kukiharibu kwa rushwa ya fedha na ngono!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Dkt Adam namfaham fika nje ndani.Kuna daktari mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau ambaye hivi karibuni ameajiriwa au anatarajiwa kuhamia katika chuo kikuu huko Mbeya. Huyu ni mtu ambaye anahusishwa kwa karibu na vitendo vya rushwa katika chuo alichotangulia.
Mashuhuda wengi wanadai kuwa amekuwa akihusisha fedha katika mchakato wa kupata alama na kupitishwa kwa wanafunzi, hali ambayo imeharibu sifa na ubora wa elimu katika Mwecau.
Sasa anapohamia Mbeya, kuna wasiwasi mkubwa miongoni mwa wanafunzi na wahadhiri wa chuo hicho. Wengi wanasema kuwa ni bora wamkatae ili kuepusha kuharibiwa kwa chuo chao. Hali hii inaonyesha jinsi mtu mmoja anaweza kuathiri mfumo mzima wa elimu na kuleta madhara makubwa kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla.
Rushwa ya fedha na ngono, katika elimu si suala la kupuuzilia mbali; inahitaji umakini mkubwa. Hivyo, ni muhimu kwa viongozi wa chuo kikuu cha Mbeya kukagua vizuri rekodi na tabia ya huyu daktari kabla ya kumkubali. Wanafunzi na wahadhiri wanapaswa kuwa na sauti na kutafuta njia za kulinda chuo chao dhidi ya watu wenye nia mbaya.
Kwa ujumla, ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha kuwa elimu inabaki kuwa safi na yenye ubora. Kukabiliana na tatizo la rushwa ni muhimu ili kuimarisha mfumo wa elimu nchini.
Huna akili na wote wanaokutumia kumchafua mtu anayeondoka kwa kufuata taratibu.Chuo kimekuwa kibovu,sana
Huna akili na kamati yako ya kuchafua watuMwecau ilianza vizuri,ila miaka mitano iliyopita,Kuna ambao hawajui chuo kilianzia wapi ,wameanza kukiharibu kwa rushwa ya fedha na ngono!
Huna akili na wote wanaokutumia kumchafua mtu anayeondoka kwa kufuata taratibu.
Huna akili na kamati yako ya kuchafua watu
Rushwa ya Ngono na fedha imekidhiri kwenye chuo hicho😕Huyo Dkt Adam namfaham fika nje ndani.
Data za hapo Mwecau nazifaham zote, kipindi cha nyuma sana nilikua nabisha baadhi ya mambo kuhusu hapo ila nilieleza baadaye ukweli ni upi!
Hon.Vumilia nafikiri kuna namna amelegeza kamba tofauti na miaka ya nyuma alivyokuwa, hiyo ni taasisi ya dini inatakiwa watumishi wa hapo wazingatie kanuni na taratibu za taaluma yao.
Katika taaluma ya Ualimu, Walimu waliotoka hapo walikua wameandaliwa vizuri na booking shule binafsi walikua wanafanya mapema tu. Ukisema umetokea Mwecau au Udsm, unaaminika kiutendaji na maadili.
Sijui siku hizi!!
Huna akili na wote wanaokutumia kumchafua mtu anayeondoka kwa kufuata taratibu.
Wewe umeisha tombwa kwani ? Tuanzie hapaRushwa ya Ngono na fedha imekidhiri kwenye chuo hicho😕
Moderator😭Wewe umeisha tombwa kwani ? Tuanzie hapa
Matusi badala ya hoja Jf ,yamekuwa kitu cha kawaida?Wewe umeisha tombwa kwani ? Tuanzie hapa
Haya ni majibu ya huyo Dr. Adam baada ya kupata tuhuma za huu uzi huko kwenye whatsap group lao........." Duh, huyu mtu hajui MWECAU kabisa.Hold on! Unataka nimuaobishe Dr Adam🫢
Je, kuna utaratibu wa kulalamika rasmi kuhusu tuhuma hizi?Haya ni majibu ya huyo Dr. Adam baada ya kupata tuhuma za huu uzi huko kwenye whatsap group lao........." Duh, huyu mtu hajui MWECAU kabisa.
Naona ata mimi nimehusishwa eti napokea rushwa. Nadhani huyo mtu hajui MWECAU kabisa.
Kwanza hakuna lecturer anayeweza kuingilia mfumo wa matokeo eti abadilishe. Kila mhadhiri anaweka matokeo ya kozi yake mwenyewe kwenye mfumo na hakuna mwingine anayeweza kuyabadilisha.
Pili hakuna matokeo yanayowekwa na mtu binafsi bila moderation meeting.
Tatu, research process assessment inafanywa na watu watatu na alama zao zinatafitiwa average, na ndiyo yanayokuwa matokeo halisi ya mtahiniwa. Hapo hakunaga forgery maana kila kitu kinafanyika kwa uwazi kwenye vikao vinavyofanya verdict kuamua mtahiniwa amefaulu au amefeli.
Nne, mtihani wa utafiti wa mwisho unahusisha external examiners na open intensive defenses.
Sasa, anaposema rushwa, binafsi ata sielewi hiyo rushwa inapitia wapi.
Mbaya zaidi, baadhi ya wanafunzi wangu waliohitimu mwaka huu wamenilaumu kwa kuwakazia mitihani yangu, kozi zangu ndizi zimeongoza kwa ufaulu mdogo.
Huyu ana jambo lake binafsi. Baadhi yenu humu ni wanafunzi wangu akiwepo Bwaya. Niliyewahi kumuomba rushwa ata ya mia moja ajitokeze wazi.
Nashauri anayetaka kuharibi taswira ya chuo aache tafadhali. Khaaaaa"
.....tuhuma zako zimeanza kupata majibu...
Unakabia kwa juu sana MtaalamUshahidi tunao,sisi sio walevi!
Yaani mpaka unafungua akaunti JF wewe ni mtu mzima, huhitaji kufundishwa au kuelekezwa utaratibu gani utumie kufikisha tuhuma zako, kila taasisi ina utaratibu wake hata watoto wa primary/secondary Wana utaratibu mashuleni. Wewe kama hukuwa na chuki zako binafsi na unakitakia chuo a better transformation fuata utaratibu. Kuleta tuhuma za mtu/taasisi kwenye public bila ushahidi usio na mashaka ni kosa la jinai na mtu huyo akifanikiwa kupata true identity yako anaweza akakichukulia hatua za kisheria za kumchafua na ukamlipa fidia kubwa. Badala ya kutumia fake ID kama una tuhuma genuine fuata utaratibu na utaonekana ni mtu mstaarabu na uliyeelimika.Je, kuna utaratibu wa kulalamika rasmi kuhusu tuhuma hizi?
Wewe ndiye mhusika mkuu,wa tuhuma zilizoelekezwa MWECAUYaani mpaka unafungua akaunti JF wewe ni mtu mzima, huhitaji kufundishwa au kuelekezwa utaratibu gani utumie kufikisha tuhuma zako, kila taasisi ina utaratibu wake hata watoto wa primary/secondary Wana utaratibu mashuleni. Wewe kama hukuwa na chuki zako binafsi na unakitakia chuo a better transformation fuata utaratibu. Kuleta tuhuma za mtu/taasisi kwenye public bila ushahidi usio na mashaka ni kosa la jinai na mtu huyo akifanikiwa kupata true identity yako anaweza akakichukulia hatua za kisheria za kumchafua na ukamlipa fidia kubwa. Badala ya kutumia fake ID kama una tuhuma genuine fuata utaratibu na utaonekana ni mtu mstaarabu na uliyeelimika.
Unahitaji ushahidi nikutajie?Yaani mpaka unafungua akaunti JF wewe ni mtu mzima, huhitaji kufundishwa au kuelekezwa utaratibu gani utumie kufikisha tuhuma zako, kila taasisi ina utaratibu wake hata watoto wa primary/secondary Wana utaratibu mashuleni. Wewe kama hukuwa na chuki zako binafsi na unakitakia chuo a better transformation fuata utaratibu. Kuleta tuhuma za mtu/taasisi kwenye public bila ushahidi usio na mashaka ni kosa la jinai na mtu huyo akifanikiwa kupata true identity yako anaweza akakichukulia hatua za kisheria za kumchafua na ukamlipa fidia kubwa. Badala ya kutumia fake ID kama una tuhuma genuine fuata utaratibu na utaonekana ni mtu mstaarabu na uliyeelimika.
Ulipata msaada wa mkopo kutoka chuo cha Mwecau! Kabla ya hapo, ulikuwa katika hali ngumu ya kujisomesha. Sasa umepunguza matatizo yako, lakini umeshiriki katika uharibifu wa chuo kwa sababu ya rushwa ya fedha na ngono. Kwa sasa, umekuwa ukifanya juhudi za kuhamia chuo kingine, ili kuweza kuharibu tena.Yaani mpaka unafungua akaunti JF wewe ni mtu mzima, huhitaji kufundishwa au kuelekezwa utaratibu gani utumie kufikisha tuhuma zako, kila taasisi ina utaratibu wake hata watoto wa primary/secondary Wana utaratibu mashuleni. Wewe kama hukuwa na chuki zako binafsi na unakitakia chuo a better transformation fuata utaratibu. Kuleta tuhuma za mtu/taasisi kwenye public bila ushahidi usio na mashaka ni kosa la jinai na mtu huyo akifanikiwa kupata true identity yako anaweza akakichukulia hatua za kisheria za kumchafua na ukamlipa fidia kubwa. Badala ya kutumia fake ID kama una tuhuma genuine fuata utaratibu na utaonekana ni mtu mstaarabu na uliyeelimika.