mbona ndo kilikuwa kinajulikana ivyo?..
ndg nakushukuru kwa taarifa yako mahsusi kwa sisi form6 livaz
ndg nakushukuru kwa taarifa yako mahsusi kwa sisi form6 livaz
Hapana. Ilikuwa hivi:
Tumaini University: Makumira Campus, au Iringa Univ College, Sebastian Kolowa Univ.College, Tumaini Univ.Dar College(TuDarco), Makumira Univ. College (MUco) etc etc
Sasa Makumira will be the mother of all colleges, Mimi nimeelewa hivyo...kama nimekosea pleaseeeeeeeeeeeee!!!MNISAMEHE.
Ahsante kwa taarifa, hata mi nimeelewa unachomaanisha.
mbona ndo kilikuwa kinajulikana ivyo?..
Tough lady, naomba utueleze mabaya meingine yaliyopo Tumaini Dar ili wananchi tujue.Wakati tunaanza first year 2011 Tumani dsm ilikuwa ikiitwa TUMAINI UNIVERSITY DSM COLLEGE (TUSODARCO), tulipoingia second year ikaitwa TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA DSM COLLEGE (TUSOMADARCO), nadhani ni mchezo wa hizi Tumaini kubadili majina,,so kila mwaka ni kwamchezo kao,kila mwaka wa masomo una jina lake...Tumaini wasikieni hivohivo, in short, sasa hivi naogopa kitu chochote kilichoandikwa Tumaini, hata kama sio chuo, anything with the word TUMAINI seems doubtable..
Wakati tunaanza first year 2011 Tumani dsm ilikuwa ikiitwa TUMAINI UNIVERSITY DSM COLLEGE (TUSODARCO), tulipoingia second year ikaitwa TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA DSM COLLEGE (TUSOMADARCO), nadhani ni mchezo wa hizi Tumaini kubadili majina,,so kila mwaka ni kwamchezo kao,kila mwaka wa masomo una jina lake...Tumaini wasikieni hivohivo, in short, sasa hivi naogopa kitu chochote kilichoandikwa Tumaini, hata kama sio chuo, anything with the word TUMAINI seems doubtable..