Chuo Kikuu cha Tumaini kubadili JINA

Chuo Kikuu cha Tumaini kubadili JINA

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Habari wadau,leo wakat napitiapitia gazet la mwaanchi nimekutana na tangazo lililopo Ukurasa wa 17 ambalo linasema 'BADILIKO LA JINA LA CHUO KIKUU CHA TUMAINI'.
Halmashauri kuu ya kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) iliazimia kuwa jina la chuo Kikuu cha Tumaini libadilike na kuwa CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA(TUMA),hivyo badi na vyuo vikuu vyake vishiriki vitaendelea kuwa chini ya TUMA.
SO nadhan waliopo na watakaojiunga mwaka huu watapata vyeti kwa jina la TUMA
 
ndg nakushukuru kwa taarifa yako mahsusi kwa sisi form6 livaz
 
mbona ndo kilikuwa kinajulikana ivyo?..

ukisoma sridi yangu kwa umakini utaona kuna tofauti hapo,,,,,
kati ya chuo kikuu cha tumaini,na chuo kikuu cha TUMAINI MAKUMIRA,,,,,kama kilikua kinajulikana hivo wasingetoa matangazo kwenye magazeti ya LEO,THEN PITIA NA DAILY NEWS LA LEO
 
Hapana. Ilikuwa hivi:

Tumaini University: Makumira Campus, au Iringa Univ College, Sebastian Kolowa Univ.College, Tumaini Univ.Dar College(TuDarco), Makumira Univ. College (MUco) etc etc

Sasa Makumira will be the mother of all colleges, Mimi nimeelewa hivyo...kama nimekosea pleaseeeeeeeeeeeee!!!MNISAMEHE.
 
Ahsante kwa taarifa, hata mi nimeelewa unachomaanisha.
 
Hapana. Ilikuwa hivi:

Tumaini University: Makumira Campus, au Iringa Univ College, Sebastian Kolowa Univ.College, Tumaini Univ.Dar College(TuDarco), Makumira Univ. College (MUco) etc etc

Sasa Makumira will be the mother of all colleges, Mimi nimeelewa hivyo...kama nimekosea pleaseeeeeeeeeeeee!!!MNISAMEHE.

yeah hivohivo mdau,,,,wametaja na college zitakazokua chini ya main campus,MAKUMIRA
 
nilielewa ni kwamba makumira baada ya kuwa ni university college sasa kinapanda grade na kuwa full university na jina lake ndio litakuwa hilo tumaini makumira
 
mbona ndo kilikuwa kinajulikana ivyo?..

Hiyo ilikua zamani kikiwa kinatoa kozi ya uchungaji pekee, kilikua kinaitwa chuo kikuu cha makumira sio tumaini makumira..
 
Wakati tunaanza first year 2011 Tumani dsm ilikuwa ikiitwa TUMAINI UNIVERSITY DSM COLLEGE (TUSODARCO), tulipoingia second year ikaitwa TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA DSM COLLEGE (TUSOMADARCO), nadhani ni mchezo wa hizi Tumaini kubadili majina,,so kila mwaka ni kwamchezo kao,kila mwaka wa masomo una jina lake...Tumaini wasikieni hivohivo, in short, sasa hivi naogopa kitu chochote kilichoandikwa Tumaini, hata kama sio chuo, anything with the word TUMAINI seems doubtable..
 
Tough lady, naomba utueleze mabaya meingine yaliyopo Tumaini Dar ili wananchi tujue.
 
Last edited by a moderator:
Wakati tunaanza first year 2011 Tumani dsm ilikuwa ikiitwa TUMAINI UNIVERSITY DSM COLLEGE (TUSODARCO), tulipoingia second year ikaitwa TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA DSM COLLEGE (TUSOMADARCO), nadhani ni mchezo wa hizi Tumaini kubadili majina,,so kila mwaka ni kwamchezo kao,kila mwaka wa masomo una jina lake...Tumaini wasikieni hivohivo, in short, sasa hivi naogopa kitu chochote kilichoandikwa Tumaini, hata kama sio chuo, anything with the word TUMAINI seems doubtable..

Teh teh teh Tough Lady,kweli unaogopa TUMANI, wait and see at the moment when there is no one to give u hope!!
 
Back
Top Bottom