Habari wadau,leo wakat napitiapitia gazet la mwaanchi nimekutana na tangazo lililopo Ukurasa wa 17 ambalo linasema 'BADILIKO LA JINA LA CHUO KIKUU CHA TUMAINI'.
Halmashauri kuu ya kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) iliazimia kuwa jina la chuo Kikuu cha Tumaini libadilike na kuwa CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA(TUMA),hivyo badi na vyuo vikuu vyake vishiriki vitaendelea kuwa chini ya TUMA.
SO nadhan waliopo na watakaojiunga mwaka huu watapata vyeti kwa jina la TUMA